Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Heshima kwenu!

Je kuna anayejuwa wapi funguo ya pili ya gari huwekwa? (hufichwa), hususani gari ndogo kutoka Uingereza.

Nauliza kwa kuwa gari nyingi 'used' toka nje huja na funguo moja, lakini inasemekana funguo ya akiba hufichwa sehemu fulani kwenye gari hilo hilo.

Natanguliza shukrani.
 
Huwa najiuliza ni kwanini huwa wanaficha funguo ya akiba, hata mimi sinayo hiyo funguo
 
So far nimeuza kama 4 mpaka sasa but bado wateja wangu hawajalalamika. So nadhani ni Gari nzuri, maana nimeziuza like 6 month back... Please check stock yetu thru www.autocj.co.jp u can also call me on 0767328063. I can help.
Offisi zetu zipo hapa Quality Center,

Mkuu hii namba yako iko whatsap?
 
Wakuu wapi naweza kupata kikombe na cap yake( sina uhakika kama ni jina la kitaalam ila mafundi wanaita ivo) vile vinakaa kwenye Cam ya engine ya K20 vipo kwenye nissan hardbody. Nimezungka jana kariakoo na kwenye maduka used sijapata mwenye kujua wapi na bei msaada tafadhali
 
Wakuu, gari niliyo agiza toka Japani (used Toyota Rav 4) inaingia wiki ijayo ... Tafadhali mnijuze nini cha kufanya kabla sija ingia nayo barabarani ( service na vitu vya kubadirisha).. Natanguliza shukrani nyingi kwenu wataalam..
 
Sana sana cheki battery, coz Gari nyingi zikija battery ndo shida, ni vizuri pia ukaipeleka gereji unayoiamini then fundi aiendeshe kiasi.
 
So far nimeuza kama 4 mpaka sasa but bado wateja wangu hawajalalamika. So nadhani ni Gari nzuri, maana nimeziuza like 6 month back... Please check stock yetu thru www.autocj.co.jp u can also call me on 0767328063. I can help.
Offisi zetu zipo hapa Quality Center, Nyerere Road Dar es salaam.

Suzuki kei bei gani?
 
sjawaiisikia hii kampuni kwa nn usimshauri anunue kampuni zilizozoeleka kama tradecarview au be forwad na nyinginezo, rahisi ni gharama wakati mwingine
 
Habari ya kazi wakuu.Kuna ndugu yangu anataka kununua gari kwenye hii kampuni ya Everycar.jp.Kwa anaeijua au ameshawahi kuitumia hii kampuni ipo vipi kwenye uhakika wa uagizaji? nasubiri ushauri wenu.

Mm nimenunua kwao gari mbili na ninafahamiana in person na MD wao ambaye mara kwa mara anakuja Bongo na last time alikwenda mpk Mwanza. Wana ofc pia Kinondoni nadhani Hugo House.
 
Habari ya kazi wakuu.Kuna ndugu yangu anataka kununua gari kwenye hii kampuni ya Everycar.jp.Kwa anaeijua au ameshawahi kuitumia hii kampuni ipo vipi kwenye uhakika wa uagizaji? nasubiri ushauri wenu.

hawana tatizo kabisa ni wazuri na ni wakongwe kwenye biashara hiyo. CEO wao anaitwa Watabe ndo huyo huja hata Tanzania kwa ziara za kukutana na wateja wao. Ukitaka kuelewa mambo mengi kuhusu manunuzi kutumia intaneti soma mada zinazohusu mambo hayo tu kwenye http://www.kalumbilo.co.tz/fahamu
 
HONDA HR-V

Naomba kuulizia uwezo wa hii gari katika kusafiri masafa ya mbali maana nimevutiwa na ulaji wa mafuta(1.6L ingine size) pia bei yake si mbaya (mfano gari ya mwaka 2000 inauzwa kwa FOB -2000 USD.) Zaidi ina umbo/size kubwa ukilinganisha na magari mengine yenye ingine size hiyo(1.6L).

Zaidi naomba nijuzwe upatikanaji wa spare za hii gari na bei ya hizo spare zake.....

Nashukuru na Karibuni.
 
Wakuu natanguliza salaam Habari zanu. Mwenye kujua duka kubwa la spare za magari ndani ya dsm anijuze maana Gari yangu inaspare adim ni Chevrolet cruze Suzuki
 
TOYOTA CELICA (GH ZZT 230/231).
Habari wataalam, Naomba mwenye uelewa wa haya magari anipe uzoefu, inaonekana ni mazuri ila sijui spea zinapatikana au la, bei za spea juu au kawaida, tatizo la ujumla, na mengine mengi.

Natanguliza shukrani.
 
Wadau naomba kuuliza hivi uchakavu kwenye uagizaji wa magari ni miaka 8 au miaka 10?
 
Wakuu natanguliza salaam Habari zanu. Mwenye kujua duka kubwa la spare za magari ndani ya dsm anijuze maana Gari yangu inaspare adim ni Chevrolet cruze Suzuki

Nenda Ilala kwa Big D karibu na machinga complex
 
wakuu natafuta mteja wa corrolla 110, ipo kwenye hali nzuri. ukiwa interested ncheki kwa hii namba ya watsapp +243853551426
 
Back
Top Bottom