Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

jamani napenda kujua kuhusu suzuki jimmy wide juu ya upatikanaji wa spare, utumiaji wa mafuta pamoja na durability yake.

Mkuu Hii kitu chukua nzuri sana, spare zipo, 4WD nzuri sana, inakwenda offroad vzr sana, petrol consumption is the best; tatizo space tu ndogo kama familia ni kubwa
 
Pongezi

Viongozi poleni sana kwa majukumu ya maisha. Nimeipenda sana elimu ya Mshana. Kweli anaelimisha bila uchoyo. BIG UP BROTHER.

Pamoja na hilo naomba kuuliza hizi gar zenye engine za HC kama baadhi ya Toyota Cami na Daihtsu terios je n kampuni moja au wanaassemble?

Vip kwa ubora kati ya Cami manual na Daihatsu manual

Natanguliza shukrani
 
Mtoto ni kiumbe hai, zaidi ya hatari zinazoweza kumpata yeye binafsi hana madhara na anaelezeka kama ni keshapata akili, gari ni mashine haijitambui, utakachofanya ndio kitakachotokea

hee mshana nimekuonea huruma kweli....yani na huyu nae umehangaika kumjibu?? wengine ni viatu achana nao
 
Naomba Kuelimishwa Kuhusu Hizi Gari Aina Ya Cami Na Terrios
 
Wakuu toyota raum yangu, taa ya handbrake haiwaki ila hand brake inafanya kazi kama kawaida,hilo tatizoa taa linaweza tokana na nini?
 
Yes, na mimi nimejadili issue, tena muhimu kuliko magari ya Gluga na Haria or what have you.

Nimeongelea tatizo sugu nchini, ukiona mtu anasema Toyota Gluga na Toyota Haria na jamii inaona ni sawa ujue kuna tatizo la msingi la kitaifa la semi literacy.

Kuna vizazi vizima, a whole litany of generations, ambavyo vilikwamishwa na kiunzi cha mtihani wa darasa la saba, na kwa walio wengi haukuwepo uwezo wa kujiendeleza kwenye shule binafsi. Ndio unapata kizazo cha Toyota Gluga.

Ukienda Ilala Shauri Moyo watu wanauza maduka ya spea za "Prado Mayai" "Rava fo new modeli" Ukiwatajia make and model hamuelewani. Wanakuuliza "Mayai sio Mayai"? Sijui kama ni mayai, haijaandikwa mayai kwenye tail end... please!

Kama taifa, tunatakiwa kushughulikia hili tatizo la watu wetu, semi-literacy, kwa vizazi vijavyo.

Unazo zote mbili Toyota Kluger na Toyota Gluga?

Yes, ulivyoandika ndivyo ulivyo! Utajitengaje na kituko kilichotoka kichwani mwako? Na hili sio suala la "ngeli," hili ni jina la kitu, Toyota Kluger, hakuna GLUGA!

Tunajadili magari sio lugha, we mpuuzi usiwaamishe watu kwenye ishu nyeti kama hii.

Anzisha uzi wako wa fasihi.
 
Tunajadili magari sio lugha, we mpuuzi
Mnajadili magari gani, Toyota Gluga? Mtu hujui kuandika na kusoma utajadi magari utawezaje wakati hata user manual ya gari itakushinda? Eti unajadili issue nyeti, issue nyeti kwako ni elimu ya msingi huna, hakuna Toyota Gluga!
 
Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo utunzaji na kadhalika.

Watu wengi wametapeliwa kwenye mauzo na manunuzi, kwenye nyaraka, kwenye vipuri kwenye matengenezo na hata matumizi.

Kwa Uzi huu basi kila mwenye ujuzi, uzoefu, ushauri au mwenye maswali na tatizo lolote linalohusiana na magari hapa ndio pawe uwanja wake

Karibuni sana

Ushauri: Jinsi ya kununua gari iliotumika ndani ya Tanzania


View attachment 225786

Asante sana kwa kuanzishab uzi huu, mimi hapa ni mtaalam wa magari aina ya peugeot na pia nina diagnosis system(LEXIA3/PP2000) mahususi kwa hizi gari... kwa anayehitaji ushauri kwa hizi gari maswali yaje, lakini pia kuna group ambayo inahusisha Peugeot Owners Club Tanzania na kwa maelezo zaidi njoo PM
 
Salam wanajamvi ningependa kujua uzuri na ubov wa mitsubish pajero mini kwa bongo na kama ni kwel ina cc 650
 
Mshana Jr, Naomba ushauri wako nina gari aina ya Nissan primera ya UK hii gari hili gari linatoa alama ya chk engine kwenye dashboard hali ukiliwasha injini inakuwa haina nguvu halafu linapiga brake fire na miss nyingiii, nimewatafuta mafundi wa umeme lakini wengi wameshindwa, unaweza kunijulisha ni mtaalamu gani anaweza kuja kufanya diagnosis ili niweze kupata uvumbuzi ?
 
Mshana Jr, Naomba ushauri wako nina gari aina ya Nissan primera ya UK hii gari hili gari linatoa alama ya chk engine kwenye dashboard hali ukiliwasha injini inakuwa haina nguvu halafu linapiga brake fire na miss nyingiii, nimewatafuta mafundi wa umeme lakini wengi wameshindwa, unaweza kunijulisha ni mtaalamu gani anaweza kuja kufanya diagnosis ili niweze kupata uvumbuzi ?

Mkuu fanya computerized diagnostics
 
Mkuu Mshana Jr nina gari aina ya RAV4 niendesha mwendo mrefu harafu nikapaki gari. Nikitaka kuondoka nikiweka Drive au rivers gari inashtuka ikiambatana na mlio "kuu"
Hii yaweza kuwa inasababishwa na nini?
 
Mmh hii ni beyond abdormal kama tank halina leakage onana na fundi mahiri afanye computerized diagnosis

Mkuu nina gari aina ya Toyota RAV4 nikiendesha mwendo mrefu gari ikachemka halafu nipaki, nikija kuweka D au R gari inashtuka ikiambatana na mlio "kuu"
Hapa tatizo laweza kuwa nini?
 
Mkuu nina gari aina ya Toyota RAV4 nikiendesha mwendo mrefu gari ikachemka halafu nipaki, nikija kuweka D au R gari inashtuka ikiambatana na mlio "kuu"
Hapa tatizo laweza kuwa nini?

Shida ipo kwenye gearbox kaka
 
Mkuu nina gari aina ya Toyota RAV4 nikiendesha mwendo mrefu gari ikachemka halafu nipaki, nikija kuweka D au R gari inashtuka ikiambatana na mlio "kuu"
Hapa tatizo laweza kuwa nini?

Na hata huko kuchemka kunasababishwa na hiyo gearbox kwakuwa inatembelea gear moja kwa muda mrefu na kubadili inabadili kwa shida mno
 
Back
Top Bottom