maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Hiyo ya kwanza Amarock naikubali sana..
We kama mimi.... nazikubali sana hizi mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya kwanza Amarock naikubali sana..
Mshana Jr, Naomba ushauri wako nina gari aina ya Nissan primera ya UK hii gari hili gari linatoa alama ya chk engine kwenye dashboard hali ukiliwasha injini inakuwa haina nguvu halafu linapiga brake fire na miss nyingiii, nimewatafuta mafundi wa umeme lakini wengi wameshindwa, unaweza kunijulisha ni mtaalamu gani anaweza kuja kufanya diagnosis ili niweze kupata uvumbuzi ?
Mshana Jr, Naomba ushauri wako nina gari aina ya Nissan primera ya UK hii gari hili gari linatoa alama ya chk engine kwenye dashboard hali ukiliwasha injini inakuwa haina nguvu halafu linapiga brake fire na miss nyingiii, nimewatafuta mafundi wa umeme lakini wengi wameshindwa, unaweza kunijulisha ni mtaalamu gani anaweza kuja kufanya diagnosis ili niweze kupata uvumbuzi ?
mshana et al...
Nahitaji.kufanyia service gari yangu nissan xtrail baada ya kutembea km 3000 nimwage oil.je ni vitu gani vingine vya kufanyia service..sina uzoefu sana na nissan xtrail.
Nan
Asante sana.
Engine oil, gear box oil, petrol filter, air cleaner plugs hivyo ndio basics lakini Fundi anaweza kukushauri accordingly
Much appreciation mshana!
Labda unaweza nijuza xtrail cc 2000 inahitaji engine oil lita ngapi na pia brand ipi ni more genuine bei etc.
Na gear box oil ni kiasi gani kwa best brands .mwisho aircleaner plugs type na bei.
Hivi ni.lazima kila ukifanya service ubadili petrol filter?
Thanks in advance and samahani kwa maswali mengi. Mwaikibaki
KaizerOkay kuongezea tu...engibe oil qekabya BP. Gear box oil ndo unabadili mara ya kwanza? Gari imetembea Km ngapi? Kama ni mara ya kwanza weka BP transmission fluid ni kama lita nne kwa gear box. Eng oil nunua lita tano itabaki kidogo. Kama haijafikisha Km 100K weka BP premium engine oil kama zaid ya hapo weka BP standard
Air cleaner wanaipiga upepo tu kisha inarudishia sio lazima mpya unless imechoka sana. Plugs pia sio lazima kubadili kama hazijakusumbua bado.
All the best.
niliagiza gari yangu toka japan ikiwa imeshatembea km 85,000 sasa nimeitumia imefika km 100,000 kwenye engine kuna sehemu imeandikwa 100,000 kwamba kila baada ya km 100,000 unatakiwa kubadili timing belt...je ni lazima uibadili?nini madhara yake usipo badili,?
Kaizer
Gear box oil itakua ndo nabadili mara ya kwanza likiwa mikononi mwangu.so ni tumie aina ipi provided gar imetembea zaid ya km 150,000..ilishakua.na.mmiliki mwingine before.
Nawezaje kujua kama plugs za air cleaner zinasumbua..any idea pls
Jamani ukiagiza gari Japan na ikafika ni service gani lazima ufanye kabla hujaendesha ijapokuwa ilishafanyiwa pre-inspection Japan? Natanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo