LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
kama upo dar nicheki PM Cd zipo za kutosha sio za kuuza lkn ila ukija itakayo kubali kufungua redio yako tunaweza kukufanyia mpango wa copy yakeWadau...nimeagiza noah...imefika ina radio haina peoner...(sina hakika na spellings). Sasa hii kitu inasema niweke insert correct cd. Nimedokezwa kuwa hii inatakiwa cd maalumu ili radio ifungunge...sasa naomba kujuzwa naweza pata wapi hizo cd maalumu ili kufungua hii muziki