LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
mkuu hapo hakuna tatizo.kama utaweza na utataka uenjoy usifanye mambo yakaonekana niyakunjunga na kuunga unga.Mkuu nimenunua body la Toyota Hilux SURF ilikuwa automatic, nataka nivalishe gearbox manual, nipe ushauri mkuu.
kama upo dar nitatoa mfano huu kwa kuwa mm nipo dar na ukitaka machimbo ya spea dar nayafaham mengi kidogo.ukinunua gearbox yako inakaa bila kufanya modification yoyote ile mkuu sababu gearbox ya automatic na manually sehem za kufungia zinaendana kwa magari mengi sana.
unaenda kwa watu wanao katakata masurf au kwa mtu mwenye body ya surf noze cut au kwenye mahilux unanunua spea na kuzifunga kwenye gari yako kama zilivyo hiongezi wala kupunguza.
ingekuwa ni gari tofauti hapo sawa kama toyota na nissan hapo ingekuwa shida kidogo.
ila kwa toyota kunjua roho mkuu maana toyota ni mnyonge wetu sana bango fundi ukishindwa kutengeneza gari ya toyota sijui utaweza kitengeneza gari gani bongo hiii