Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Naombeni ushauri nataka nichukue Premio ya mwaka 2004. Udhaifu na ubora wake ukoje?! Na kama mbadala mzuri zaidi yake ni upi?!
 
Chukua tu weakness zipo lakini sio mbaya. Zingatia service na kanuni za umiliki wa gari utaifaidi
 
Wadau naomba msaada kwenye hayq magari .
1 Honda CRV RD 2 .
2. mitsubish io
3. fielder milage 200k km
4.Mark2 grand
Option ganI itanifaa maana yote ni used na nahitaji moja kati ya haya.
 
Kwa ushauri wangu chukua fielder za kama ni Honda chukua RD5
 
nina wasiwasi na spare za Fielder maana ni chache sana kulinganisha na Mark2 grand 110.
Hapana zipo mara ya kwanza kuiona fielder hapa bongo ilikuwa way back 2009 na huwezi amini spare zake zinaingiliana na gari nyingi make ya Toyota
 
Hello wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Siku ya leo nikiwa naangalia ITV kipindi cha Usafiri wako, nimeona jamaa akisema kuwa gari kubadili Oil na Oil filter yake ni hadi gari iende 5000km.
Ila mie binafsi gari yangu tangu nimeinunua 2011 hadi sasa nimekuwa nikiweka Oil ya BP na kuiattend kwa ukaribu wa hali ya juu na kumwaga Oil kila baada ya 3000km.
Swali: Ni umbali upi sahihi na salama kwa kubadili Oil katika hasa gari zetu hizi za kwenda kazini Asubuhi, inashinda imesimama hadi Jioni. Ukibadili route ni Beach na familia.
Natanguliza Shukurani.
Cc: mshana jr
 
Kwa hizi oil zetu za kawaida ni km 3000,kwa zile za premium km 5000, zipo mpk za km 20,000 ndo unabadilisha mkuu
 
Hello wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Siku ya leo nikiwa naangalia ITV kipindi cha Usafiri wako, nimeona jamaa akisema kuwa gari kubadili Oil na Oil filter yake ni hadi gari iende 5000km.
Ila mie binafsi gari yangu tangu nimeinunua 2011 hadi sasa nimekuwa nikiweka Oil ya BP na kuiattend kwa ukaribu wa hali ya juu na kumwaga Oil kila baada ya 3000km.
Swali: Ni umbali upi sahihi na salama kwa kubadili Oil katika hasa gari zetu hizi za kwenda kazini Asubuhi, inashinda imesimama hadi Jioni. Ukibadili route ni Beach na familia.
Natanguliza Shukurani.
Cc: mshana jr
Inategemea na ubora wake! Unapofika sehemu ya service kuna oil na filter za km tofauti mara nyingi ikiwa ni kati ya 3000-10000
 
wakuu nimeagiza gari but inakuja bila radio, sasa kuna radio nimeiona kwenye Mtandao nataka kuinunua sasa nataka kujua radio zinatofautiana vipimo nisije nunua halafu ikagoma kufit kwenye dash board, aina ya gari ni probox van
 
Probox ni Toyota zinaingia radio za uso mpana na mwembamba pia(single din na double din pia)ukifunga single din utapata nafasi ya ziada ya kuweka vitu vingine
1456525355346.jpg
1456525370793.jpg
1456525377593.jpg
1456525383043.jpg
1456525403995.jpg
 
Wakuu habari, naomba msaada kujua ni nini kinasababisha harufu or Moshi kuingia ndani ya gari wakati unatumia AC na umefunga vioo vyote?? Maana mwanzo hili tatizo halikuwepo na gari haijapata ajari yoyote??
 
Kuna leakage kwenye muffler au kwenye connector ya engine
 
Kuna ndugu yangu mmoja anatafuta muffler pamoja na eksosi ya suzuki carry amejaribu kariakoo kashindwa labda sababbu ya ugeni, naoamba anayekufahamu please msaada.
 
Mkuu Mshana, ni kitu gani kinaweza sababisha ulaji wa mafuta kwenye gari kubadilika.
Nina Ractis 1NZ ilikuwa inakula 1L/15KM. Sasa naona ni kama 1L/10KM.
Hapo nini inaweza ikawa shida na service na zingatia.
 
Wadau naomba mwongozo kidogo...nataka nibadili rangi nyekundu kwenda blue navy. Tra huwa wanatoza bei gan kwenye kubadili hyo taarifa?!
 
Mkuu Mshana, ni kitu gani kinaweza sababisha ulaji wa mafuta kwenye gari kubadilika.
Nina Ractis 1NZ ilikuwa inakula 1L/15KM. Sasa naona ni kama 1L/10KM.
Hapo nini inaweza ikawa shida na service na zingatia.
The most huwa ni plugs
 
Back
Top Bottom