Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utaalamu wa oil ni mpana sana but lengo langu ilikua kutoa basic knowledge tu ambayo kwa kweli itamsaidia mtu uelewa wa kutosha tu kwa ajili ya gari yake. Siwezi sema sana nitawachanganya wengine bcoz terminology nyingi ni za ki science zaidi.
Lakini kwa kifupi ndio hivo kama nilivyosema hapo juu.
Jana nilikua hospital regency na wife kutokana na tatizo la usafiri kwa jiji la dar nimehangaika sana no gar gani kati ya kalina na spasho inayotumia mafuta kidogo inayonifaa Mimi kama mwalimu ili nijipange hata kwa Mkopo niepuke tatitzo la usafir has a linapo kuja swala la kusafirisha mgonjwa
Carina ni ngumu zaidi japo spacio ndio inatumia mafuta kidogo zaidi ya carinaJana nilikua hospital regency na wife kutokana na tatizo la usafiri kwa jiji la dar nimehangaika sana no gar gani kati ya kalina na spasho inayotumia mafuta kidogo inayonifaa Mimi kama mwalimu ili nijipange hata kwa Mkopo niepuke tatitzo la usafir has a linapo kuja swala la kusafirisha mgonjwa
Ahsante nitaeleza tena kwa kifupi kidogo;Ni vizuri ukaendelea kwasababu hapo umegusia sehem ndogo sana.
Ningependa kujua mazingira ya baridi tofauti yake na ya joto.
Pia engine mpya na hyo used jinsi ya kutofautisha oil kwasababu hapo ndipo penye somo.
Tafadhali endelea.
mkuu sorry sana kwa kuchelewa kuja mambo yanakaba sana.tunapigana sana na machuma na huu uchawi wa mzungu ni.shidaa ukirudi home hoi umechoka.asante Mshana @ LEGE popote ulipo tafadhali...
Na kwa kuongezea, ni muhimu sana kwa magari ya kisasa kutumia oil sahihi.Ahsante nitaeleza tena kwa kifupi kidogo;
1. Mazingira ya joto au baridi
Joto husababisha oil kuwa nyepesi na kuathiri kitu kinaitwa viscosity. Hii viscocity ya oil kiswahili naweza sema ni urahisi au ugumu wa mmimiminiko wa vimajimaji of fluid. Narudia tena ni ngumu kueleza kwa kiswahili hapa.
Sasa basi ili kuweka sawa hio oil iweze kustahimili athari za joto au baridi kuna additives huwekwa ku maintain hio viscocity hata kwenye joto kali au baridi kali kama ulaya vinginevyo oil ingekuwa nyepesi kama maji africa na ingeganda nchi kama ulaya. Na ili oil ifanye kazi yake vizuri between the moving engine car parts lazima kuna optimam range of oil viscoty which should be maintained throughout.
2. Engine mpya na ya zamani.
Gari ikiwa mpya kiwango cha msuguano kati ya chuma na chuma yaani moving parts hua ni kubwa kidogo na hatimae kwa kipindi kifupi hali hio hutulia baada ya vyuma hivyo ku sit in. Kwa lugha ya kiswahili ni kama kuoana yaani kuelewana sijui. Hapo engine hukaa muda mrefu bila tatizo lolote kama unafatilia service na unaweka oil sahihi kwa muda sahihi. Baada ya kipindi hicho cha kuoana kwa vyovyote vile msuguano wa vyuma huacha gap kati yao ingawa hutaona kwa macho Mpaka vipimo. Hapo kiwango cha msuguano huongezeka na hivyo kuhitaji oil yenye nguvu zaidi kuzuia hilo. Vinginevyo gari ndio itaaribika mapema engine.
Mkuu niishie hapa tena. Hili darasa ni refu na mimi nisije tumbuliwa jipu.
Na kwa kuongezea, ni muhimu sana kwa magari ya kisasa kutumia oil sahihi.
Usichanganye kati ya 'mineral oil' na 'synthetic oil'. Ukiweka mineral oil kwenyr gari inalotumia synthetic litakufa engine haraka sana na majanga yake hutasahau.
Kuna mazoea mtu anakwambia oil ya bp, au total ndio nzuri na unaamini kuwa umeweka oil nzuri kumbe unaua gari.
Unachotakiwa kuzingatia unaponunua oil (ya brand ya oil) uzingatie
1. Kama gari yako inatumia synthetic au mineral oil.
2. Viscocity grade (hapa kuna monograde k.v. SAE 40 etc) au multi grade kama 5w-40w, 10-30 etc. Multigrade nyingi ni synthetic
3. Majira ya mwaka. Kuna oil za wakati wa baridi (winter) na za wakati wa joto, na baadhi haswa multigrade zinapiga pote pote.
Kisha unapobadili oil, tafadhali jitahidi kununua oil filter original inayoendana na part number ya gari lako. Achana na oil filter za bei nafuu hasa kwa magari ya kisasa. Majanga yake ni mabaya.
Na kabla hujaichukua gari yako toka garage hakikisha kuwa wewe na fundi mmejiridhisha kuwa oil haivuji.
Vitabu vya magari huwa vina aina za engine na hydraulic oil zimeandikwa.Mkuu asante kwa darasa, ila kama utatusaidia kutambua kama gari hii inatumia aina gani ya oil itakuwa vyema zaidi maana wengi humu tu ma-layman.
Wakuu nina Escudo 2.0 engine J20A, ulaji wake wa mafuta hauzidi 8km kwa lita.Labda tatizo laweza kua matumiz ya wese hasa ukipeleka bush!
Mkuu si ununue tu gari ya hizo cc?Wakuu nina Escudo 2.0 engine J20A, ulaji wake wa mafuta hauzidi 8km kwa lita.
Nataka nifunge engine ndogo isiyozidi 1600cc.
Naomba ushauri wa namna ya kupata hii engine na bei yake. Nipo Arusha.
Napenda body ya hii gari kwasababu inahimili mikiki ya mazingira yangu, hasa rough road.Mkuu si ununue tu gari ya hizo cc?
Napata wsws uzito wa gari vs size ya engine vinaweza kutobalance