Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni cvt transimission je gari yako ina km ngapi?Waungwana naombeni ushauri wa haraka,
Nimekuja fanya service sasa nataka nibadili hydroulic ya gear box,
Stick haiyonekeni na koki yenyewe haipo.
Wala kibox cha sterling hydraulic hakipo.
Hii inakuaje?? Ya mwaka 2006
hiyo ni cvt transimission je gari yako ina km ngapi?
yap kama haina deep stick hiyo ni cvt transmission na inatumia oil maalum ya cvt usiweke transimission oil ya kawaida itaua hiyo gearbox ukipeleka garage utafahamishwaHapana inasoma km 43260,ila si unajua hizi huwez jua kama walirudisha nyuma.
Ila nisaidie mkuu kama unayajua haya mambo.
yap kama haina deep stick hiyo ni cvt transmission na inatumia oil maalum ya cvt usiweke transimission oil ya kawaida itaua hiyo gearbox ukipeleka garage utafahamishwa
nahisi gari yako itakuwa inatumia electric power stering na sio hydraulic power stearing ukienda garage wakuchekie hata mwenyewe unaweza kuchunguza kwenye dashboard kama ukiweka on inawaka taa ya EPS ujue una Electric Power Stearing (inatumia umeme)Ndugu yangu JohnQ, nimeenda garage leo.
Jamaa mmoja kaniambia nisiweke hydraulic za kawaida. Ipo hydroulic nyeupe ndio special kwa hizi gari.
Mwingine kasema haina haja kubadili kwasababu zinatakiwa ziende hadi km 100,000.
Lakini hapo kuna koki walishafungua na hakijamwagika kimimika chochote.
Lakini JohnQ,upande wa sterling nako vipi mana hakuna kibox cha kuweka pia.
Inatumia nini labda?
nahisi gari yako itakuwa inatumia electric power stering na sio hydraulic power stearing ukienda garage wakuchekie hata mwenyewe unaweza kuchunguza kwenye dashboard kama ukiweka on inawaka taa ya EPS ujue una Electric Power Stearing (inatumia umeme)
Bado hatujawa na hii kitu hapa kwetu nafikiri kitu kinachoitwa Local GPS, ambayo unaconnect na radio , iliyopo kwasasa ni hii ya satellite tunayoipata kupitia mawimbi ya mawasiliano kwenye simuNina rav 4 yangu...nimefunga Sony dvd yenye screen ktk dashboard....nimeona ni GPS inbuild ila nikijaribu kucheki GPS navigation haifunguki...nawezaje kuifanya GPS navigation
Umwshawahi kucheki diff oil au kuongeza hata maramoja? Hebu kacheki hilo kwanzaKaka mshana Jr. Lege na wengineo
Msaada hapa tatizo ni nini
Nina rav 4 old model ukiwa kwenye mwendo inatoa sauti ya kuvuma kutokea miguu ya nyuma
Ni kama berling zimeisha. Ila nilivyomwita fundi akazicheki hizo berling ziko poa wala hazivumi na mimi mwenyewe nilishuhudia.
Lakini ukiendesha hasa kwenye lami inatoa sauti ya kuvuma.