Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nahitaji spea za toyota hilux surf ya mwaka 1997 bumper ya mbele ngao na taa ya kulia je naweza kuvipata wapi?
kama upo dar basi nenda ilala mkuu vyote unapata au hata kama upo mkoani na huko havipatikani unaweza ukafanya mawasiliano na watu waliopo dar then ukatumiwa
 
kama upo dar basi nenda ilala mkuu vyote unapata au hata kama upo mkoani na huko havipatikani unaweza ukafanya mawasiliano na watu waliopo dar then ukatumiwa
Asante boss je ilala duka gani?gari iliyopoteza bumber l6 mbele na taa hiyo mkuu
%24_99.jpeg
 
0715274191 mpigie huyo hata akisema hana mwambie akufanyie mpango hana shida na mwamini .

au mcheki huyo 0715063128 au 0754063128
 
Nataka kununua HONDA FIT....Nani anaijua hii gari vzr au upatikanaji wa vifaa vya gari za Honda HAPA mjini!?
 
Nataka kununua HONDA FIT....Nani anaijua hii gari vzr au upatikanaji wa vifaa vya gari za Honda HAPA mjini!?
Ubora wake siufahamu kivile lakini spare zake ni ghali kiasi flani
 
Mitsubishi Airtrek, vipi wakuu kuhusu hii gari? Inaweza kuhimili mikikimikiki katika barabara zisizo na lami??
 
Back
Top Bottom