MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,209
Nawasalimu bandugu. Naomba kujua kama kuna restrictions zozote za kutumia chasis number kwa gari mpya ambayo iko kwenye mchakato wa usajili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu vp jukwaa la baiskeli bado?????Mimi bado nangojea jukwaa la baiskeli.......
mkuu vp jukwaa la baiskeli bado?????
haaaa haaaa haaaa haya mkuu tutaanzisha uzi wa baiskeli japo kagari ninako nitakuwa napitia na huku nipate mawili matatuBado nipo kwenye subira mkuu.....si unajua subira huvuta kheri........
Kama na wewe ni miongoni mwa wamiliki wa baiskeli....basi tuungane kwenye kusubiri.....
haaaa haaaa haaaa haya mkuu tutaanzisha uzi wa baiskeli japo kagari ninako nitakuwa napitia na huku nipate mawili matatu
Bado nipo kwenye subira mkuu.....si unajua subira huvuta kheri........
Kama na wewe ni miongoni mwa wamiliki wa baiskeli....basi tuungane kwenye kusubiri.....
haaaa haaaa haaaa haya mkuu tutaanzisha uzi wa baiskeli japo kagari ninako nitakuwa napitia na huku nipate mawili matatu
Wadau sijapata mwongozo...mwenye idea tafadhaliNawasalimu bandugu. Naomba kujua kama kuna restrictions zozote za kutumia chasis number kwa gari mpya ambayo iko kwenye mchakato wa usajili.
Pls ingia google type Audi S4 utapata kila kituJamani kuna Audi A4 nataka chukua lakini sina ujuzi sana na hizi gari. Baadhi ya specifications ni hizi;
Chassis# WAUZZZ8E44A275112
Model Code: GH-8EALT
Version: 2.0
Engine Code: ALT
Nahitaji kufahamu kuhusu hayo hapo juu.
samahan wataalam eti
engine ipi nzuri na kuhusu ubavu..
Hizo si nzuri kwakuwa likitokea tatizo tena fuse haitaungua kutokana na unene wa wire hivyo kuunguza vitu vingineWakuu naomba kujulishwa hili. Inatokea fuse ya redio au inayoleta moto kwenye dashboard imeingua halafu badala ya kubadilisha, fundi anaiunga kwa kutumia waya halafu anairudishia akidai kwamba haitatokea iungue tena. Je fuse za aina hiyo za kuungwa baada ya kuungua zina madhara yoyote kwenye gari au mfumo wa umeme wa gari?
Nashukuru sana mkuu.Hizo si nzuri kwakuwa likitokea tatizo tena fuse haitaungua kutokana na unene wa wire hivyo kuunguza vitu vingine
nataka kujua kwa ubavu na speed kama ikitokea racing..Engine zote hizo hazina shida tofauti yake ni uwezo tuu
Hahahaaa angalia yenye CT kubwa lakini pia ufundi wa dereva ni muhimu sananataka kujua kwa ubavu na speed kama ikitokea racing..