Mada maalum ya ndege toka FB

π—π—˜, 𝗨𝗑𝗔𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 π—π—œπ—‘π—¦π—œ π—›π—˜π—Ÿπ—œπ—žπ—’π—£π—§π—” π—œπ—‘π—”π—©π—¬π—’π—£π—”π—”?

{Ufafanuzi mwepesi}

#Helicopter ni ndege inayotumia bawa inayozunguka juu {panga} kutengeneza '#lift' ili iweze kupaa.
Kumbuka ndege ya kawaida inategemea kusukumwa na injini kwenda mbele ili hewa ya kutosha ipite chini kuweza kunyanyuka 'lift' na kupaa "take off"
Kwa Helikopta hali ni tofauti kidogo, kwani panga ndiyo zinakimbia/kuzunguka (rotation) ili kuzalisha 'lift'.
Lakini pia ina panga ndogo nyuma {mkiani} ili kuzuia body {#fuselage} kuzunguka pamoja na panga kubwa inapopaa (torque effect)

'Helicopter' kiasili ni ndege isiyotaka kupaa kwasababu viungo vyake lazima vifanye kazi kwa kupingana ili iweze kwenda sawa.
Hiyo ndiyo sababu 'Helicopter' inahitaji hesabu ya ziada kupaisha.

Rubani wa Helikopta muda wote hufanya kazi ya kuipa milinganyo tofauti "balance" kati ya panga kubwa na ndogo itakayomwezesha kupaa alivyokusudia.

#UPAAJI
{Endapo kila kitu shwari}
Rubani huwasha mzunguko wa injini #rpm hadi ifike kiwango kinachohitajika kwa kutumia '#throttle' {inafanana na mkono wa #acceleretor ya pikipiki}
Baada ya hapo huvuta juu '#collective' {inafanana na mkono wa #handbrake}
Kazi ya 'collective' ni kubadili 'angle' ya mapanga ya juu {rotor blades tilt} ili yawe na umbile linaloweza kukandamiza hewa chini na kupaa {mfano wa panga za feni zilivyokunjwa ili kuweza kusukuma upepo}.

Wakati wa kunyanyuka ina tabia ya kiwiliwili kutaka kuzunga na panga kubwa {#torque effect} hivyo rubani huzuia hali hiyo kwa kukanyaga pedeli ya kulia au kushoto kuiweka sawa, kutegemea kiwiliwili kinazunguka upande gani.
Pedeli hizi zina'control panga ndogo mkiani kama ilivyo kwenye ndege ya kawaida pedeli zinavyo'control' kielekezi (#rudder) mkiani ili kukata kona.

Ikifika kimo anachohitaji kwenda juu hutumia "#cyclic" ambayo ni 'control stick' iliyopo katikati ya miguu ya rubani na kazi yake kuinamisha panga kubwa kulia, kushoto, mbele au nyuma ili helikopta ielekee upande ambao panga litainamia.

Kama ni kwenda mbele atasukuma mbele taratibu "cyclic" ambayo itasababisha mzunguko wa panga la juu {#main_rotor_disk} kuinama kidogo mbele na kusababisha helikopta kufuata kuelekea huo.
Hii ni kwasababu panga kubwa litaanza kukandamiza hewa kwenda chini na nyuma na kusababisha helikopta kunyanyuka juu na kwenda mbele (lift & Thrust)

Rubani pia anaweza kuongeza nguvu ya injini kidogo kwenye 'throttle' yake au kuvuta "collective" ili kuongeza kasi ya panga kuzalisha nguvu hizo kutegemea na haraka au uzito wa Helkopta wakati huo akikanyaga kwa umakini pedeli kusahihisha uelekeo.

Zipo Helikopta ambazo hazina panga ndogo nyuma, bali ina panga mbili kubwa zilizo katika nguzo moja (rotor must) ambazo zinazunguka kinyume ili kuondoa tatizo la kiwiliwili kuzunguka na panga wanaita 'Coaxial rotor' au 'Counter rotating Blades' mfano Kamov #Ka52.

Pia kuna Helkopta nyengine yenye panga zote kubwa mbele na nyuma zinazozunguka kinyume mfano #Chinook CH-47.

Helkopta ni mashine ya kufanya kazi nyingi ambazo ndege ya kawaida haiwezi kufanya.
Na hii kutokana na uwezo wa wa kuganda sehemu moja hewani (hovering), kugeuka papo kwa papo, kwenda ubavu ubavu kama kaa (ngadu) au kurudi 'kinyume nyume'.

Helikopta inatumika katika kazi nyingi kama zimamoto na uokoaji (fire&rescue) katika sehemu ngumu kufikika na chombo kingine,
Jeshini kama kubeba mizigo (Cargo Helicopter #CH), kushambulia (Attack Helicopter #AH), na Shughuli nyengine za ziada (Utility Helicopter UH) na hata shughuli za kijasusi.
Kwa upande wa shughuli za kiraia Helikopta inatumika kama kubeba wagonjwa (Air Ambulance), Kubeba abiria au watu mashughuli (Passenger & VIP helicopters), kubeba mizigo na vifaa vya ujenzi mfano Crane 'Helicopters' na kadhalika.

Kutokana na ugumu wa kupaisha Helikopta wanaanga wanatumia usemi ufuatao;
"kupaisha ndege ya kawaida ni kama kuendesha baiskeli ya tairi mbili na kupaisha Helkopta ni kama kuendesha baiskeli ya tairi moja.

#Admin
 
Ndege ya Transair Senegal, Boeing 737-300 (6V-AJE, iliyotengezwa 1994) imeharibiwa vibaya baada ya kupita njia ya kurukia ndege katika Uwanja wa Ndege wa Dakar-Intl, Senegal.

Bawa la kushoto na injini zilishika moto lakini abiria wote 78 wafanyakazi waliweza kutoka wakiwa hai na 11 kati yao wakiwa na majeraha.

Chanzo:
Aeronews
 
Ndege aina ya Boeing 747-400 iliyokuwa na watu 468 kutoka #Indonesia kwenda #SaudiArabia ilitua kwa dharura baada ya moto kuonekana kwenye injini, liliripoti The Independent.
Abiria na wafanyakazi wote walishuka salama.
 
Kwanini Kenya Airways imefupishwa kama KQ na sio KA?
KQ inasimamia nini?
Je, Q inawakilisha nini?

Kwanza tuangazie safari fupi ya historia ya shirika la ndege.
Kenya Airways ilizaliwa kutoka East African Airways iliyoanzishwa mnamo mwaka 1946, ikuhudumia Tanzania, Kenya na Uganda.

Mnamo 1977, lilizaliwa shirika la ndege la Kenya Airways.
Wakati huo Korea tayari ilikuwa na tasnia yake ya sekta ya usafiri wa anga inayoendesha (Korean Air).
Lakini pia shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (IATA) tayari lilikuwa limesajili Herufi β€˜KA’ kwa Korean Air.

Kwa sababu ya β€˜kuchelewa’ Kenya ilipewa msimbo wa KQ na ndiyo sababu shirika la ndege la Kenya linajulikana kama KQ badala ya KA.

Je, unafahamu nini kuhusu TC ya Air Tanzania?
Shusha maoni kwenye 'comments'

Picha:
Mtandaoni.
 
Attachments

  • FB_IMG_1716181596463.jpg
    22 KB · Views: 7

Picha ya kwanza rasmi imeachiwa chombo cha habari cha serikali nchini Iran ikionesha mkia wa helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian, akiwemo rubani na rubani msaidizi ambao wote wameripotiwa kupoteza maisha.

Chanzo:
Iranstatemedia
 
Attachments

  • FB_IMG_1716211099075.jpg
    42 KB · Views: 8
Picha ya kwanza rasmi imeachiwa chombo cha habari cha serikali nchini Iran ikionesha mkia wa helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian, akiwemo rubani na rubani msaidizi ambao wote wameripotiwa kupoteza maisha.

Chanzo:
Iranstatemedia
 
Baadhi ya Mabasi ya Afghanistan yametengenezwa kwa bodi 'fuselage' ya helikopta za Mil Mi-8 za soviet zilizoanguka.
 
Attachments

  • FB_IMG_1716219017944.jpg
    57.3 KB · Views: 9
Baadhi ya Mabasi ya Afghanistan yametengenezwa kwa bodi 'fuselage' ya helikopta za Mil Mi-8 za soviet zilizoanguka.
 
Kwa mujibu wa shirika la habari la Thailand ΰΈ‚ΰΉˆΰΈ²ΰΈ§ΰΈŠΰΉˆΰΈ­ΰΈ‡ΰΈ§ΰΈ±ΰΈ™, rubani alisema kuwa, abiria 30 walijeruhiwa na mmoja alifariki kwenye ndege ya shirika la ndege la Singapore yenye safari namba SQ321.

Shirika la ndege lilithibitisha kifo cha abiria kufuatia msukosuko mkubwa njiani.
Kampuni ya ndege ya Singapore Boeing 777-300 yenye usajili 9V-SWM ilitangaza dharura takriban saa 1:30 kutoka Singapore.

Ndege hiyo ilitua njia namba 19R ina Uwanja wa ndege wa BKK wakati makumi ya magari ya kubebea wagonjwa yalikimbilia kwenye ndege hiyo kutoa usaidizi wa kimatibabu huku ATC ikifahamishwa kuhusu hali mbaya iliyokuwepo ndani ya ndege hiyo.

Taarifa ya:
Airlive.net
 
Attachments

  • FB_IMG_1716298467139.jpg
    34.7 KB · Views: 8

Mzamiaji..πŸ¦‰
 
Attachments

  • FB_IMG_1716460607651.jpg
    78.2 KB · Views: 8
Pilatus PC-12
Injini PW PT-6
Panga Saba.
 
Attachments

  • FB_IMG_1716460816815.jpg
    113.6 KB · Views: 8
Pilatus PC-12
Injini PW PT-6
Panga Saba.
 
Ndege ya Emirates Boeing 777, iliyokuwa ikiruka kutoka Dubai kwenda Mumbai, imegonga kundi la ndege mita 300 kutoka ardhini, na kuwaacha ndege 39 wakiwa wamekufa.
MUMBAI: Ndege hiyo ilitua salama Mumbai siku ya Jumatatu usiku baada ya kugongana na kundi la ndege aina ya flamingo muda mfupi kabla ya kutua, lilisema shirika hilo la ndege siku ya Jumatano.
 
Attachments

  • FB_IMG_1716460956963.jpg
    32.1 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1716460953393.jpg
    36.7 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1716460946343.jpg
    40.8 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…