Mada maalum ya ndege toka FB

Mada maalum ya ndege toka FB

Ndege ya Emirates Boeing 777, iliyokuwa ikiruka kutoka Dubai kwenda Mumbai, imegonga kundi la ndege mita 300 kutoka ardhini, na kuwaacha ndege 39 wakiwa wamekufa.
MUMBAI: Ndege hiyo ilitua salama Mumbai siku ya Jumatatu usiku baada ya kugongana na kundi la ndege aina ya flamingo muda mfupi kabla ya kutua, lilisema shirika hilo la ndege siku ya Jumatano.
 
Beechcraft 60 Duke ni ndege nyepesi yenye injini pacha iliyoundwa na kuzalishwa na Kampuni ya Beechcraft Marekani.

Ndege ina gurudumu tatu zinazoweza kukunjwa ndani, lakini pia ina mfumo wa kipupwe (Cabin pressurization)
Ina Injini mbili za pistoni za turbocharge, na turbocharger hizo pia huzalisha hewa ya kipupwe ndani.

Sifa:

Mzalishaji: Beechcraft
Mruko wa kwanza: Disemba 29, 1966
Uzalishaji: 1968–1983
Idadi iliyoundwa: 596
Urefu: mita 10.3
Tanki za mafuta:
142 US gallon au lita 540
Abiria: 05
Ubebaji: Kilogramu 1000

Injini:
Mbili pacha aina ya Lycoming TIO-541-E1C4 turbocharged six-cylinder, horizontally opposed direct drive inayozalisha nguvu ya 380 hp (280 kW) kila moja

Kasi ya juu:
459 km/saa, pia ina uwezo wa kupaa futi 23,000.

Umbali wa kusafiri:
Kilomita 2,272 km

Umbali wa njia ya kupaa:
Mita 800
Umbali wa njia ya kutua:
Mita 934

Makadirio ya Bei kwa ndege iliyomilikiwa dola za kimarekani $160,000 hadi 270,000.

Taarifa ya:
Aviation forum/Quora/Wikipedia
Mtandaoni
 
Attachments

  • FB_IMG_1716461043248.jpg
    FB_IMG_1716461043248.jpg
    37.6 KB · Views: 8

"Aviation Kiss"
Busu lenye gharama zaidi..😘
 
Attachments

  • FB_IMG_1716461141028.jpg
    FB_IMG_1716461141028.jpg
    18.8 KB · Views: 7
"Aviation Kiss"
Busu lenye gharama zaidi..😘
 
"Aviation Kiss"
Busu lenye gharama zaidi..😘
 
Ndege za abiria zinazotengenezwa nchini Urusi, kama vile Superjet SJ-100 na ndege ya ukubwa wa kati ya MC-21 huenda zikapata jina jipya hivi karibuni.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha fedha cha Urusi RBK, Sergey Chemezov, mkuu wa shirika la anga, uhandisi na ulinzi Rostec, alisema kwamba jina la kihistoria la 'Yakovlev' itafufuliwa kwa ajili ya familia nzima ya ndege zinazotengenezwa nchini Urusi.

Soma zaidi:
 
Attachments

  • FB_IMG_1716461276713.jpg
    FB_IMG_1716461276713.jpg
    28.5 KB · Views: 7
Ndege za abiria zinazotengenezwa nchini Urusi, kama vile Superjet SJ-100 na ndege ya ukubwa wa kati ya MC-21 huenda zikapata jina jipya hivi karibuni.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha fedha cha Urusi RBK, Sergey Chemezov, mkuu wa shirika la anga, uhandisi na ulinzi Rostec, alisema kwamba jina la kihistoria la 'Yakovlev' itafufuliwa kwa ajili ya familia nzima ya ndege zinazotengenezwa nchini Urusi.

Soma zaidi:
 
Ndege ya AC-130 gunship (C-130 iliyoboreshwa) ni ndege ya kijeshi ya mashambulizi ambayo imesimikwa bunduki mzinga na bunduki-mashine zinazofyatuliwa pembeni ya bodi.
Wajerumani wanaita Flak au Flugabwehrkanone au anti-aircraft gun.
Ndege ya AC-130 gunship imesimikwa bunduki-mashine aina ya Bofors ya mm 40, na bunduki mzinga ya mm 105 hortwizer.
Matumizi ya bunduki hizi ni kutoa msaada wa karibu kwa jeshi lililo ardhini dhidi ya adui.

Kumbuka, ndegevita nyingi maarufu za mapigano au mashambuli kama A-10 warhog au ndegevita za kirusi Sukhoi Flankers zimesimikwa bunduki-mashine za mm 30.
AC-130 gunship inapofyatua bunduki-mzinga yake yenye nguvu (105 mm hortwizer) husogeza mkia wa ndege karibu futi saba pembeni (Tail drift)

Admin.
Kutoka,
Fighterjetmagazine.
 
Attachments

  • FB_IMG_1716560227130.jpg
    FB_IMG_1716560227130.jpg
    26.3 KB · Views: 7

Rubani kipofu anaingia ndani ya ndege, akitumia fimbo yake.
Abiria wote wanatazamana kwa kutoamini.
Kisha mhudumu wa ndege anatangazia abiria na kusema,

"Mabibi na mabwana kama mnavyoona, nahodha ni kipofu, lakini msijali, yeye ni mmoja wa marubani bora zaidi duniani mwenye uzoefu wa zaidi ya saa 6,000 angani".

Kisha, rubani msaidizi nae anapita, pia ni kipofu na anatumia fimbo yake kufika kwenye chumba cha marubani.
Mhudumu wa ndege anatangaza tena,
"Mabibi na mabwana, kama unavyoona, rubani mwenza pia ni kipofu, lakini uwe na uhakika, yeye ndiye rubani wa pili bora zaidi duniani akiwa na zaidi ya masaa 5,000 angani".

Mda mfupi baadae ndege ikaanza kukimbia kwenye barabara yake, kila inapoongezeka kasi, abiria wanatabasamu..
Ndege inaendelea kuongeza kasi zaidi na zaidi hadi ikakaribia mwisho wa njia ya kurukia, bado haijaanza kupaa.

Ndege ikakaribia kabisa mwisho wa njia ya kurukia mara abiria wakaanza kupiga kelele kwa hofu..na ghafla ndege ikaanza kupaa, kisha rubani kipofu anamgeukia rubani mwenza na kusema,
"Siku watakapoacha kupiga kelele ujue tumekwisha"

Admin.
Aviation Media Tanzania.
 
Attachments

  • FB_IMG_1716660675616.jpg
    FB_IMG_1716660675616.jpg
    36 KB · Views: 7

Ripoti ya awali kuhusu ajali ya helikopta iliyomuua Rais wa Iran Ebrahim Raisi siku ya Jumapili haijapata ushahidi wowote wa uhalifu, vyombo vya habari vya serikali vinasema.

Ndege hiyo "ilishika moto baada ya kugonga eneo lililoinuka" na hakuna alama zozote za "matundu ya risasi" zilizogunduliwa katika mabaki hayo, ripoti ya jeshi inasema.
Helikopta hiyo ilikuwa ikiruka kwa "njia iliyopangwa awali na haikuacha njia iliyoteuliwa", inasema.

Kamati ya kijeshi inayochunguza ajali hiyo iliongeza kuwa maelezo zaidi yatakuja wakati uchunguzi ukiendelea.
Rais Ebrahim Raisi alizikwa katika mji aliozaliwa wa Mashhad siku ya Alhamisi, siku nne baada ya helikopta hiyo kuanguka wakati akirejea kutoka kwenye uzinduzi wa bwawa kwenye mpaka na Azerbaijan.

Ndege hiyo aina ya Bell 212 iliyotengenezwa miongo kadhaa, iligonga mlima wakati ikiruka kuelekea kaskazini-magharibi mwa jiji la Tabriz kwenye mvua kubwa.

"Hakuna kitu cha kutiliwa shaka kilichozingatiwa katika mazungumzo na mnara wa kudhibiti na wafanyakazi wa ndege," ripoti ya awali ilisema.

Taarifa ya:
bbc/English
 
Attachments

  • FB_IMG_1716661431764.jpg
    FB_IMG_1716661431764.jpg
    50.2 KB · Views: 6

Ndege ya Super Air Jet Airbus 320 imepita nje ya njia ya kurukia ndege ilipokuwa ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Weda Bay nchini Indonesia.
Inashukiwa kuwa ndege hiyo haikuweza kusimama kwa wakati kutokana na hali mbaya ya hewa. Hakuna majeraha yaliyoripotiwa kwa abiria na wafanyakazi 172.

Chanzo:
Aviationbrk on X
 
Attachments

  • FB_IMG_1716830538404.jpg
    FB_IMG_1716830538404.jpg
    48.9 KB · Views: 8
Utundu mwingine kutoka Soviet ni ndege ya TUPOLEV Tu-114 yenye kupakia abiria 220 na kasi karibu 800 km/h kwa kutumia injini za Mapangaboi "turbo prop" pekee.
Sio mbaya sana hasa ukizingatia iliundwa miaka ya sitini na kingine zaidi ndege 32 tu ndizo zilitengenezwa, na nyakati hizo injini za jet zinaanza kuingia.
 
Attachments

  • FB_IMG_1717041371656.jpg
    FB_IMG_1717041371656.jpg
    36.9 KB · Views: 6

Back
Top Bottom