Mada maalum ya ndege toka FB

Abiria wa shirika la ndege la United adai kuona Funza kwenye mlo.

Mtumiaji wa Reddit, majuzi alishiriki kusambaza picha za mlo wao wa ndani ya ndege kwenye ndege ya United kutoka Sydney hadi Los Angeles, akionyesha Buu ndani ya mlo wake.

Mtumiaji huyo alisema, "Sijawahi kupenda chakula cha ndege, lakini baada ya hili, sidhani kama nitaweza kula kitu kingine chochote.

Kutoka:
Reddit
 
Attachments

  • FB_IMG_1717066640976.jpg
    29.5 KB · Views: 5
Abiria wa shirika la ndege la United adai kuona Funza kwenye mlo.

Mtumiaji wa Reddit, majuzi alishiriki kusambaza picha za mlo wao wa ndani ya ndege kwenye ndege ya United kutoka Sydney hadi Los Angeles, akionyesha Buu ndani ya mlo wake.

Mtumiaji huyo alisema, "Sijawahi kupenda chakula cha ndege, lakini baada ya hili, sidhani kama nitaweza kula kitu kingine chochote.

Kutoka:
Reddit
 
How much fuel does a Boeing 747 burn per minute?

Imagine the immense power and efficiency of a Boeing 747 soaring through the skies. Every mile it covers, it consumes a mere 5 gallons of fuel, which translates to an astonishing 12 liters per kilometer.

To put it into perspective, this equates to a remarkable 1 gallon, or approximately 4 liters, of fuel burned every single second. Now, envision a five-hour flight where this colossal aircraft devours a staggering 18,000 gallons of fuel, displaying its insatiable thirst for energy.

Brace yourself for an even more mind-blowing fact: during an extensive 10-hour journey, like the one from Los Angeles to London, a Boeing 747 consumes a staggering 36,000 gallons, amounting to an astounding 150,000 liters of fuel.

And that's not all. As this magnificent machine takes off and ascends to its cruising altitude, it voraciously devours approximately 5,000 gallons, around 19,000 liters, of fuel, exemplifying its remarkable power and capability. Witness the extraordinary consumption of this airborne marvel and comprehend the incredible efficiency of the Boeing 747.
.
.
.
.
.
#b747 #aviation #aviationphotography #aviationknowledge #aviationlovers #aviationdaily #aviationgeek #fypใ‚ท #fypใ‚ทใ‚š #boeing747lovers #boeinglovers #flight #aviationphotography #b747 #airplane #KLM #aviation #fuel #aviationlovers #aviationdaily #aviationlife #aviation4u
 
Attachments

  • FB_IMG_1717092834524.jpg
    48.4 KB · Views: 5
The largest airplane ever built is called the Antonov An-225 Mriya. It was designed and built in Ukraine in 1988 primarily to transport parts of the Soviet space shuttle program. This airplane has six engines, 32 wheels for landing gear, and a wingspan about twice as long as a football field! Follow Vincent Rotich for daily updates

#vinmarkmedia
 
Attachments

  • FB_IMG_1717348874546.jpg
    43.9 KB · Views: 3
The largest airplane ever built is called the Antonov An-225 Mriya. It was designed and built in Ukraine in 1988 primarily to transport parts of the Soviet space shuttle program. This airplane has six engines, 32 wheels for landing gear, and a wingspan about twice as long as a football field! Follow Vincent Rotich for daily updates

#vinmarkmedia
 
Rais na waziri wake wa kusadikika walikuwa safarini ndani ya ndege wakipiga soga, kisha Rais akamwambia Waziri;
"Unajua naweza kutupa kibunda cha milioni 1 nje ya dirisha sasa hivi na kumfurahisha mtu mmoja chini.."

Waziri aliinua sura yake kisha akajibu "Mimi ningeweza kutupa noti 50 za Elfu 10 nje ya dirisha na kuwafurahisha watu hamsini"

Rubani kiongozi aliyekuwa akisikia mazungumzo yanayoendelea nae akamwambia rubani mwenza kwa sauti ya chini;
"Unajua naweza kubwaga chini hizi ng'ombe mbili na kufanya nchi nzima ifurahi.."โ˜บ๏ธ

Aviation Media Jokes.
 
Attachments

  • FB_IMG_1717438045819.jpg
    28.4 KB · Views: 2

Sio kitu unaweza kuona kila siku wakati unasubiri kupanda ndege.

๐Ÿ“ธ
Sam kuminecz
 
Attachments

  • FB_IMG_1717438209600.jpg
    44.4 KB · Views: 3
Sio kitu unaweza kuona kila siku wakati unasubiri kupanda ndege.

๐Ÿ“ธ
Sam kuminecz
 
Sio kitu unaweza kuona kila siku wakati unasubiri kupanda ndege.

๐Ÿ“ธ
Sam kuminecz
 
Pembe ya Vuvuzela ya Afrika Kusini iliyopata umaarufu katika Kombe la Dunia la Kandanda la 2010, ilikuwa na mlio uliokadiriwa kuwa na ukelele wa desibeli 127.
Kwa upande mwingine, ndege ya Airbus a380 inapaa kwa kelele inayokadiriwa kwa desibeli 82.

๐Ÿ“ธ
Pinterest
 
Attachments

  • FB_IMG_1717479884354.jpg
    48.9 KB · Views: 2

๐‚๐ก๐š๐ง๐ '๐ž-๐Ÿ” ๐ฒ๐š๐š๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฌ๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข ๐ƒ๐ฎ๐ง๐ข๐š๐ง๐ข.

China inasema ujumbe wake umeanza kuondoka upande wa mbali wa mwezi kurejea Duniani ukiwa umebeba sampuli za kwanza kabisa zilizokusanywa kutoka eneo hilo.
Vyombo vya habari vya serikali vinasema sehemu ya chombo cha Chang'e-6, iliyopewa jina la mungu wa kike wa mwezi katika elimu ya mambo ya asili ya Kichina, kilifanikiwa kuondoka salama kuanza safari ya kurejea mnamo saa 07:38 siku ya Jumanne (23:38 GMT Jumatatu).

China ndio nchi pekee iliyotua upande wa mbali wa mwezi, baada ya kufanya hivyo hapo awali mnamo 2019.

Chanzo:
Al Jazeera
 
Attachments

  • FB_IMG_1717492476594.jpg
    30.8 KB · Views: 3

Jana inatimia miaka 51 tangu ajali ya Turpolev Tu-144 katika Maonyesho ya Anga ya Paris, ambapo watu wote 6 waliokuwa ndani ya ndege hiyo na wengine 8 waliokuwa chini walipoteza maisha.

Ajali hii ilileta viashiria vya mwanzo vya mwisho wa ndege za mwendokasi kwa kiwango fulani, kwani mashirika mengi ya ndege yalighairi maagizo ya ndege hizo (Concorde na Concordski)

๐Ÿ“ธ
Wikipedia
 
Tungependa kuona mradi wa Satellite wa Mhandisi Leonard Shayo unasonga mbele na sio kuishia kwenye vyombo vya habari kama ilivyo kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ