Mada maalum ya viwembe/ma-playboy

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Habari wana MMU.

Mada hii ni kwaajili ya viwembe, wapenda nyuchi, ma-playboy, Mafataki, Wakora wa mapenzi na vijana chakaramu. Kupitia uzi huu utaweza kushare uzoefu wa mambo haya ya pinda mugongo na kujua athari zake katika maisha ya kila siku.

Niufungue uzi na uzoefu wangu.

Nilianza mapenzi nikiwa kidato cha pili huko kijijini. Msichana wangu wa kwanza alinizidi miaka sita kumaanisha alikuwa na miaka 21 wakati mimi nikiwa na miaka 15. Hakuna siku iliyobadilisha maisha yangu kama siku ile. Ni siku ambayo naihesabu kama siku mbaya kuliko zote kutokana na sababu kuwa ndio siku iliyogeuza akili yangu na kuwa hivi ilivyo. Kama nisingefanya uasi ule siku ile huenda leo ningekuwa mtu mwingine kabisa.

Baada ya kuingia katika ligi ya mahaba mtazamo wangu wa maisha ulibadilika kwa kiasai kikubwa. Sikuwa naogopa tena wanawake, uaminifu wangu kwa Mungu nao uliyumba kiasi sikuweza kuomba hata kwa dakika moja kutokana na hatia iliyomo moyoni mwangu. Kila nilichokuwa nakifanya nilikihusisha na wanawake jambo ambalo halikuwepo hapo awali.

Hakuna mwanamke ambaye sikuwahi kutoka naye kwa habari ya umbo, umri, sura, kimo, rangi, na kadhalika. Wanawake wakali niliburudha, shombeshombe niliparaza, wenye mabwawa nilipiga mbizi, wenye mapango nilijibanza, wenye vitundu nilitoboa, wenye mashavu niliyatetemesha nakuyafanya yacheke, wenye misitu niliikata.

Hata wanawake weupe niliwapa cassava, weusi, maji ya kunde nao niliwapaka shampoo yangu. Wafupi, warefu na saizi ya kati niliwapanda kama farasi. Wanene, saizi ya kati na wembamba niliwakumbatia bila hofu. Walemavu nao niliwapa tiba. Yaani Vangu Vangu tuu.

Hakika siku ya kwanza ilibadili mwelekeo wa maisha yangu. Ndio tabia pekee mpya niliyoianza na ninayoshindwa kuiacha. Ndio maana siku ile siitamani kabisa.

Nilichokiona katika mambo haya hakuna la maana zaidi ya kuishi kwa mashaka muda wote. Kuwa mtumwa wa mapenzi na wanawake. Kila mwanamke unamtaka. Niliambiwa na watu muhimu kwamba nikiendelea hivi basi mwisho wangu utakuwa mbaya na wa aibu sana.

Nawe waweza kushare baada ya utangulizi huo.
Kama unaswali lolote kuhusu mwanamke yoyote waweza uliza
 
Umalaya kaz sana kuacha, ni kama ulevi mwingne, ila acha taratib taratib, ni tabia mbaya sana Mzee baba


Mkuu wakati wengine wakienda kanisani kumuomba Mungu pesa, magari, kazi nzuri mimi naenda kuomba niache huu mchezo. Kuna kipindi nilivyokuwaga chuo ilikuwa 2*2 ya asubuhi anaingia mwingine jione anaingia mwingine. Kwa sasa angalau kwa wiki wanawake watatu. Idadi hii inaridhisha kidogo
 
Ila mi nilipiga papuchi ya Kwanza miaka mingi iliyopita wakati nafanya applications za kwenda chuo. Means nilikuwa nimemaliza form 6 wkati napiga papuchi ya Kwanza.
 
Siku ya kwanza kuingia kwenye mambo ya mapenzi,ngono, Uhasherati, Ukicheche ,mpenda Papuchi N.K......Siitaki hata kuikumbuka hiyo siku. Kwa leo naishia hapa.
 
Siku ya kwanza kuingia kwenye mambo ya mapenzi,ngono, Uhasherati, Ukicheche ,mpenda Papuchi N.K......Siitaki hata kuikumbuka hiyo siku. Kwa leo naishia hapa.


Siku ile iliharibu sana mpangilio wa maisha yangu. Ndio maana sitaki kujifunza tabia nyingine ya kishenzi kama vile pombe maana naogopa naweza shindwa kuacha
 
Hahahaaaaa mkuu hujapata wa kwako. Mi watu waliokuwa wananifahamu walikuwa wananitolea mfano Mimi kwamba Hadi nioe na wao ndo waoe. Ila thanks God nilipata wa kwangu na Sina tatizo na mtu. Karibu safari mkuu Niko kijijini huku nanunua alizeti


Wakwangu naweka mambo sawa. Tunajadili suala la mimi kuoa wake wawili. Siwezi ishi na mwanamke mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…