Mada maalum ya viwembe/ma-playboy

Mada maalum ya viwembe/ma-playboy

Najaribugu kuacha umalaya lakini siwezi. Nakumbuka kuna rafiki yangu alitoka Moshi kulipa mahari kafika Dar usiku, usiku huo huo kaenda kulala na dem mwingine. Wanaume sisi Mungu atusamehe tu.


Haya maisha haya basi tuu
 
Wengine sisi tumerithi. Mdingi wangu naye ni mkali wa mambo yetu kwa kuona mwenyewe bila kusimuliwa na mtu.
 
Hakuna umalaya zaidi ya Kumuacha demu geto alafu unaenda kutafuta Demu mwingne utafune[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Labda MTU akikuaa ataacha
 
dah yaan umalaya huu sijui sababu nipo single naishi kigetogeto na ni ndichi ndio maana siwez kuacha ninampango niende kupanga karibu na kanisa letu ili niwe na shinda na waimba kwanya church
 
dah yaan umalaya huu sijui sababu nipo single naishi kigetogeto na ni ndichi ndio maana siwez kuacha ninampango niende kupanga karibu na kanisa letu ili niwe na shinda na waimba kwanya church
Yaan hapa hakuna afadhali, utawala hao wana kwaya mmoja baada ya mmoja, [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Binafisi nilianza na house girl wetu kipind hicho Nina miaka 14 punde baada ya balehe ,huyu binti alikuwa na mshikaji wake (mchumba) ambaye alikuwa akimletea zawadi na vitu mbalimbali home,ikafika mahala akaanza kunifundisha na kunipatia utamu ,saiv ameolewa ila huwa naongea nae ,sijawahi kusex nae tena tangu aolewe kutokana na umbali,so kitu nilichojifunza ni kutowaamin kabisa girls ,yaan nakula na kusepa ,kama atanipenda yeye ,its fine but me hapana,
 
Back
Top Bottom