Ni kweli mkuu!Yapo matokeo hasi na chanya kwa kila tulitendalo Mkuu
Mimi nasemaga basi huyu ndo dem wa mwisho lakini wapi. Kuna watoto wazuri nyie acheni tu.Haya maisha haya basi tuu
Pole mkuuHakika hata mimi sipend ila nashindwa kuacha
Yaan hapa hakuna afadhali, utawala hao wana kwaya mmoja baada ya mmoja, [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]dah yaan umalaya huu sijui sababu nipo single naishi kigetogeto na ni ndichi ndio maana siwez kuacha ninampango niende kupanga karibu na kanisa letu ili niwe na shinda na waimba kwanya church
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaan hapa hakuna afadhali, utawala hao wana kwaya mmoja baada ya mmoja, [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ndio mkuuNikusaidie kuwaita?