Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daaa Kuna mhudumu namuona mzuri kuliko hata Nancy Sumari hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wachaa niwah home nisije leta balaa
Mkuu hakuna watu smart kama wahudumu
Kuna jamaa yngu tulikuwa tunapiga naye gambeee sana alimchomekea mhudumu wakawa kwenye mahusiano mpka WAKAJA funga ndoa na wapo mpaka Sasa....
Aise hao wadada wanajua maisha sana

Ova
 
Yeah iyo hutokeaga mkuu sijakataa ila hapa kwa Leo naona siko kbsaa
 
Mkuu hakuna watu smart kama wahudumu
Kuna jamaa yngu tulikuwa tunapiga naye gambeee sana alimchomekea mhudumu wakawa kwenye mahusiano mpka WAKAJA funga ndoa na wapo mpaka Sasa....
Aise hao wadada wanajua maisha sana

Ova
nakubaliana na ww mkuu,, mi nna jamaa angu pia kaoa muudumu,., maisha waliopitia waudumu inawafanya wawe smart sana kwny ndoa wanajua wanaume tunataka nn,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…