mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mkuu jana ulifika salama naonaNilifika salama na sasa nipo ndani nikasema nichungulie uzi. Leo nilifanya kufuru nikakimbia mapema nisije nikafukuzwa na ma msap.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jana ulifika salama naonaNilifika salama na sasa nipo ndani nikasema nichungulie uzi. Leo nilifanya kufuru nikakimbia mapema nisije nikafukuzwa na ma msap.
Leo umelipa kodi?.Afadhali jana umefika salama
Naendelezaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli naona mwandiko umeanza kupinda
Hapa na bia sita mangi anafunga duka hadi raha
Minikuambia naliamsha kodi nawekaga pembeni na siku nikikosa mtu wa kunipigisha stori ndio nakua makini zaidi, siunajua safari za usiku hakuna tochi.Mkuu jana ulifika salama naona
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa na bia sita mangi anafunga duka hadi raha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliku mi nikuambia naliamsha kodi nawekaga pembeni na siku nikikosa mtu wa kunipigisha steri ndio nakua makini zaidi, siunajua safari za usiku hakuna tochi.
Ahhhhh nachukua fegi zangu the lest ni history[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Poa poa poaAhhhhh nachukua fegi zangu the lest ni history[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Poa poa poa
Ova
Naona amekua kama mimi hana nidham ya uandishi tena.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Tungi BobNaona amekua kama mimi hana nidham ya uandishi tena.
Nimeediti mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwandiko huo nimekusoma mwnangu
Ova
Mm bado nipoNaona amekua kama mimi hana nidham ya uandishi tena.
Nimestuka unaweza niweka kwenye kundi la walevi.[emoji23]
Ova
Duh mm bado sijarudi kwangu naendeleaNashukuru tuliisha ingia m. moja mapeema. tumeoga tumekandamiza, na sasa ni muda wa kupumzika. Usiku mwema wana JF.
Hongera ila chunga wenge la kesho [emoji42][emoji42][emoji42]Duh mm bado sijarudi kwangu naendelea
Maana hapa ni safari+nyagi mixer [emoji23]
Ova
View attachment 870453