Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wewe mwenyewe umeanza bila picha yako ukiwa tilalila - unategemea nani akupatie picha?
Ila kuna kisa kimoja nilikutana nacho hadi nilitamani kuacha kabisa kukamata kilauli ....
Yaani mtu anakamata kilauli hadi tendron zinalegea anachafua nguo zake kwa ile yabisi. Mtu mwenyewe mheshimiwa .. tajiri .. lakini cha kushangaza kesho yake alikuja tena ... nilipomsalimia HABARI ZA TANGU JANA ... alijibu nimekuja ili kuhakikisha haziongelewi leo. Alikuwa anasambaza walwa kama hana akili nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…