Namba za sim au nafasi?.πππππ.Nichukulie namba....
ππππππ umenijibu kikaksi. Kisa hujaanza ligi au?.[emoji23][emoji23][emoji23]za mjenzi wa ukuta na gardener
[emoji23] [emoji23] ananjua kaka na mtata[emoji23] [emoji23]Nichukulie namba....
Nyagi nlipiga sana mpaka nikinywa nikawa nawashwa mwili mzima nikazikimbia!
Hapo vp maana dada wa jikoni kanisogelea kwa mnywaji mtata,vp nkuweke hapo[emoji23][emoji23][emoji23]za mjenzi wa ukuta na gardener
Aliniwekea madawa kwenye nyagi
Aise ana own jikoooo hapa kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nichukulie namba....
Ingekua inafaa kutuma kwakutumia sim ningekutumia maana najua kiu ilivyo.Ngoja nichakachue ya mochwari kidogo.. Uvumilivu umenishinda View attachment 871366
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]Ingekua inafaa kutuma kwakutumia sim ningekutumia maana najua kiu ilivyo.
Mi bado sijaomba bili ujue.View attachment 871392
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 871423 ila wazee tuache utani safari ni tamu asee. Nkinywa safari naskia mwepesi kama nmetoka kuungama[emoji23]