Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Dah bar ya wazee wa nanii ile... Kitambo sana wallah
Poa poa nkipita hko ntakustua
Leo ntakatiza kwa octah nyuma ya French embassy kna wadau ntaenda wachek

Ova
Hiyo bar wanafanya biashara kimazoea Sana. Kama week 3 zilizopita nilienda eti hata opener ya chupa ya wine hawana.
Wale wamama wazee nao wabadilishwe waletwe wadada bwana.
 
Hiyo bar wanafanya biashara kimazoea Sana. Kama week 3 zilizopita nilienda eti hata opener ya chupa ya wine hawana.
Wale wamama wazee nao wabadilishwe waletwe wadada bwana.
Basi pamechoka enzi za Ben na baadae JK palikuwa moto sana kuanzia jikoni wahudumu mpaka vinywaji
 
Back
Top Bottom