Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kbko
Hadi glass tutembe nazo pia

Ova
Mm situmii glass, ila km unatumia nakushauri tembea nayo ,au km bar umeizoea acha moja kaunta asiguse mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kbsa mwishowe lazima wa anguke
Maana hadi wakina h.pope wakina kifukwe etc Wali hamia kwa mangi [emoji23]

Ova
Wanywaji wana fitna mbaya sana.
Wamiliki wqnasahau wanywaji mara nyingi wanakuwa walewale baa flani. Mwishowe wanaambizana.

Kuna kibinti kimoja counter nipo na rafiki yangu imefika saa sita eti amechoka hawezi kuhudumia. Ni mzuri kweli kweli wanasema mmiliki anapumzika pale. Ila tulimwambia Meneja....sasa hivi ameondolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…