Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Pombe tunyweni tuko makini
Maana ukinywa upo gazbu hasira stress wateva ni balaaa!
Kuna siku moja muda sana tulikuwa tunakunywa mtaa ya blok41 kuna dada mmja anaitwa glory alikuwa na glocery yake
Basi gambeee weka gambeee
Nakumbka nlikuwa na mchzi wangu bro pia anaitwa Robert (rip)alikuwa ana miliki bar za matema
Kwenye kilinge chetu kulitokea sana mizinguano watu Wanapishana kauli mpk watu wakawa wanatoleana mguu wa kuku
Ila mwisho wa siku nakumbka jamaa Roby alifariki kwa ajali ya gari ila siku ile ilikuwa a na nksi mabalaa tupu

Ova
 
Mm nachomoka hapa naenda home sasa ila napitia sehemu napiga 1 ya kulala

Ova
 
Hiyo ya kuonyesheana mguu wa kuku wanayo sana Vijana wa Mbezi beach ila ikitokea balaa waoga kama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…