Pombe tunyweni tuko makini
Maana ukinywa upo gazbu hasira stress wateva ni balaaa!
Kuna siku moja muda sana tulikuwa tunakunywa mtaa ya blok41 kuna dada mmja anaitwa glory alikuwa na glocery yake
Basi gambeee weka gambeee
Nakumbka nlikuwa na mchzi wangu bro pia anaitwa Robert (rip)alikuwa ana miliki bar za matema
Kwenye kilinge chetu kulitokea sana mizinguano watu Wanapishana kauli mpk watu wakawa wanatoleana mguu wa kuku
Ila mwisho wa siku nakumbka jamaa Roby alifariki kwa ajali ya gari ila siku ile ilikuwa a na nksi mabalaa tupu
Ova