Huyo huyo... Nikiikumbuka Bakulutu ya wakati ule na gorverner ya leo aisee acha tu... Tulikuwa tunakula vyombo pale na marehemu mzee Sita na kampani yakeMlevi ni MTU muhimu sana,si kwa serikali tu hata kwa mmliki wa bar ,km una bar/grocery humsikilizi mnywaji wako unafeli
Dah pole mdau kuna siku za makafara lakini pia kuna siku ibilisi husimamia ukuchaPombe tunyweni tuko makini
Maana ukinywa upo gazbu hasira stress wateva ni balaaa!
Kuna siku moja muda sana tulikuwa tunakunywa mtaa ya blok41 kuna dada mmja anaitwa glory alikuwa na glocery yake
Basi gambeee weka gambeee
Nakumbka nlikuwa na mchzi wangu bro pia anaitwa Robert (rip)alikuwa ana miliki bar za matema
Kwenye kilinge chetu kulitokea sana mizinguano watu Wanapishana kauli mpk watu wakawa wanatoleana mguu wa kuku
Ila mwisho wa siku nakumbka jamaa Roby alifariki kwa ajali ya gari ila siku ile ilikuwa a na nksi mabalaa tupu
Ova
Bakukutu hata injinia Kifukwe alikua anapapenda sana paleHuyo huyo... Nikiikumbuka Bakulutu ya wakati ule na gorverner ya leo aisee acha tu... Tulikuwa tunakula vyombo pale na marehemu mzee Sita na kampani yake
Robert alianguka na Range Rover? Hy siku jamaa alituacha mchana jacarandaPombe tunyweni tuko makini
Maana ukinywa upo gazbu hasira stress wateva ni balaaa!
Kuna siku moja muda sana tulikuwa tunakunywa mtaa ya blok41 kuna dada mmja anaitwa glory alikuwa na glocery yake
Basi gambeee weka gambeee
Nakumbka nlikuwa na mchzi wangu bro pia anaitwa Robert (rip)alikuwa ana miliki bar za matema
Kwenye kilinge chetu kulitokea sana mizinguano watu Wanapishana kauli mpk watu wakawa wanatoleana mguu wa kuku
Ila mwisho wa siku nakumbka jamaa Roby alifariki kwa ajali ya gari ila siku ile ilikuwa a na nksi mabalaa tupu
Ova
Hapa kwa Mangi[emoji848][emoji848][emoji112][emoji112][emoji112][emoji39][emoji39][emoji39]location loading....
NaamWalipa kodi mpo? Weekend loading...!!!
DaahNipo nyuma ya double view hotel nacheck balance ya tumbo[emoji4]
View attachment 872368
Vipi mkuuDaah
Kwa Salma ndo pale CK alikuaga na banda LA chips?Nilihama kwa Octa nikahamia kwa salma pembeni,vipi bado pako ,maana dah long time
HahahaaahaaKuna walevi humu kweli au ndo wale vibia viwili kelele nyingi[emoji16][emoji16]