Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Kama hujaionja pepo huwezi kujua laha ya pombe😂Walevi kulewa ni raha auni starehe ni shida au ni kitu gani by sio mlevi mimi.
Ttz viwanda pori vimekua vingi mno kaka
Niliwahi kunywa 7 siwezi sahau .nilihis kifo...hizi unywe taratibu aise usiwe na pupaTamu kweli hii bidhaa
Ila ukifakamia after few hours ndo unajua umeyakanyaga 😂
Learned this the hard way😁
glass ina ufa🤨
Dodoma Capital parkwapi hapa
Chiaziii hiyoglass ina ufa🤨
Hii kitu safi sana lakini siku hizi naziogopa sana baada ya kusikia watu wanazifyatua mtaani wanaweka mpaka stika za TRA