Habari ya mujini kila siku lazima ni boost kamoja niwapo home,rahaaaa burudaniiiiiView attachment 1820641
Boss ,nina tatizo kwanini ni kinywa konyagi napata kama ganzi hivi na hasa kwenye vidole mwisho wa vidole ya mikononi mpaka ngozi ya vidole inabanduka shida inaweza kuwa nini kwa uzoefu wako wa konyagi
Suluhisho ni kuiacha hiyo konyagi,,,, ni lazima kwani kunywa makali,,, tumia wine au beer !
Achana na konyagi Kwa Sasa na pombe kabisaBoss ,nina tatizo kwanini ni kinywa konyagi napata kama ganzi hivi na hasa kwenye vidole mwisho wa vidole ya mikononi mpaka ngozi ya vidole inabanduka shida inaweza kuwa nini kwa uzoefu wako wa konyagi
๐๐ Kisusio na mmbupuuEasy Sunday
View attachment 3230452