shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 269
- 390
MTWARA : Moja ya mikoa ya hovyo sana kwa nchi yetu bora tungewapa msumbiji hichi kijiji kilichochangamka , Achana na ujinga ujinga wa ofisi za uma nk, naamka na hangover baada ya kuchangia pato la serikali nafika machinjioni asubuhi na mapema (nimeshika kaschana mkononi) , nimenunua nyama za supu utumbo mixer nk nataka nikinge damu nitengeneze kisusio masheha wamening'ang'ania balaa wanasema hairuhusiwi wanahusisha na dini nk , hivi hii (injii) ikoje ?