Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]sifa ya utumbo sio mfupa bali ni harufu... Ile ya ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah
 
Dah lakini kweli Mimi mkewangu alikuwa na tabia ya kunisemeya home nilimpa viganja viwili tu mpaka Leo kanielewa nakula bata tu.
Hiyo nayo ni changamoto common kwa wanywaji wote, mimi huwa nakunywa kwa raha sana lakini akili ikimkumbuka wife tu basi raha yote kwisha mana naenda kutana na balaa si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…