Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sasa hivi ni mwendo wa chakupima cha buku unasuuza na Serengeti Light mbili tatu baadae unasubiri mida ya taarifa ya habari saa mbili ili kujua kama ushatumbuliwa ama la unarudi home unakunywa maji mengi asubuhi unawahi kwenda kumtumikia Mhindi upate mshahara wako mapema.Ovaa
 
pamoja na umuhimu wetu adhimu kwenye maendeleo ya nchi hii lakini hatuthaminiki kabisa aisee!
Serikali inatuchukulia poa tu wakati tukigoma hata kwa majaribio tu hapakaliki..
 
pamoja na umuhimu wetu adhimu kwenye maendeleo ya nchi hii lakini hatuthaminiki kabisa aisee!
Serikali inatuchukulia poa tu wakati tukigoma hata kwa majaribio tu hapakaliki..
Serikali inatambua wazi kuwa hii tasnia kamwe haitokaa ifanikiwe kugoma kwakuwa kila wakijikusanya kwa ajili ya mikakati ya mgomo wanaishia kulewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali inatambua wazi kuwa hii tasnia kamwe haitokaa ifanikiwe kugoma kwakuwa kila wakijikusanya kwa ajili ya mikakati ya mgomo wanaishia kulewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂ndio maana hawana wasi kabisa
 
Kwa huu mzigo mzee baba Mshana Jr.Aiseee sisi watu wa Mwanza,Kagera,Geita,Chato na maeneo ya Interlucustrine zone wote tunasema URIMORA SAAAAANAAAA Mzee jiwe maana goma limeshuka bei adi sasahivi nasikia ni 1,500 tuu na bado baa zinakosa watu yani vyuma vimewakaza wanywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…