Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23][emoji23]dah aisee!
kati ya local beers nilizo zikubali ni hii.
Aisee kweli Walevi tunatofautina sana,katika Bia iliyoniahinda ladha yake ya ukakasi ni hii Ndovu siwezi kunywa hata moja nikaimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…