Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Napata tabu sana kunywa BALIMI katika mkoa wa DAR,,watu wananiona kama nimefulia,,kama kibaka,wanaficha simu zao,,,mbona kanda ya ziwa ,,ndio bia yenye heshima,,,Rock City utakuta safari zimeisha lakini sio BALIMI,,,,weka mikono juu na banjuka juu ,banjuka juu na balimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…