Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwann meli inaelea alafu sailing inazama
????

Ova
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]nikiiangalia napatwa na uchungu wa ile trillion tunayolipia
 
Soda 5000, fruit salad 18,000 uzuri ni kwamba ni za chuma ulete[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimesogea kunduchi beach...kushangaa meli ya Mzee babaView attachment 887447
Mtani hapo Ramada napaheshimu Sana,mwaka huu nlikua hapo kwa nguvu ya kampan nayofanyia kazi..kulikua na sales kick off ya mwaka huu ila wakat shughuli inaendelea nkasogea kaunta nikwanywa bia tano nkaambiwa bill 40000 asee thanks God nlikua fresh ila nkasema hapo sio kwa sis tunaokunywa bia za 2000 asee
 
Bila shaka unafanya kazi coca[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…