Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Usisahau mambo mazuri ya maendeleo yanayozungumzwa wakati wa moja baridi moja moto . Nilipata mbinu za kilimo cha tikiti maji kwenye unywaji . Ulevi ambao sio wa kupindukia unamfanya mtu azungumze bila unafiki kuhusu ukweli wa jambo . Hata katika hotuba point nyingi zinapatikana kwa walevi wa wastani . Pimbe inafunfua akili na kukuonyesha njia . Kila jioni napita sehemu " kama sebule " ili kupata habari zilizojiri .
 
.View attachment 892547
Cha barrrrrrrrdiiiiiii
Mtani... karibuuu tuzimue
IMG_20181010_103540_6.jpg
 
Kuna kipindi cha ukata mrefu has a kwa sis wafanya kazi baada ya mishahara kutoka

Sasa nkaona pesa zitaisha na mm napenda sana monde a.k.a spirit nkanunua chupa zang za value 2 kubwa zile za 8000 nkaziwek ndan
Kilichofuat sasa nkawa sina tena muda wa kwenda job nkaa home nakula tu pombe coz nkiziangalia kabatin naona kama mapanya yatazigida vile wik nzima ninalewa tu sio asubhi mpaka wiki ikaisha zilpo isha sasa arosto yake sio ya kitoto mpaka watot na wife walikuwa wananikimbia ni hasira tu nahisi kama wao ndio wamenisababishia arosto kali
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau mambo mazuri ya maendeleo yanayozungumzwa wakati wa moja baridi moja moto . Nilipata mbinu za kilimo cha tikiti maji kwenye unywaji . Ulevi ambao sio wa kupindukia unamfanya mtu azungumze bila unafiki kuhusu ukweli wa jambo . Hata katika hotuba point nyingi zinapatikana kwa walevi wa wastani . Pimbe inafunfua akili na kukuonyesha njia . Kila jioni napita sehemu " kama sebule " ili kupata habari zilizojiri .
Kweli kabisa

Ova
 
Kuna kipindi cha ukata mrefu has a kwa sis wafanya kazi baada ya mishahara kutoka

Sasa nkaona pesa zitaisha na mm napenda sana monde a.k.a spirit nkanunua chupa zang za value 2 kubwa zile za 8000 nkaziwek ndan
Kilichofuat sasa nkawa sina tena muda wa kwenda job nkaa home nakula tu pombe coz nkiziangalia kabatin naona kama mapanya yatazigida vile wik nzima ninalewa tu sio asubhi mpaka wiki ikaisha zilpo isha sasa arosto yake sio ya kitoto mpaka watot na wife walikuwa wananikimbia ni hasira tu nahisi kama wao ndio wamenisababishia arosto kali
Arosto ya valuer ni mbaya sijui kwa nn
 
Back
Top Bottom