harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Kuchanga pepsi ama coka nikukwepa ule uchungu unatengeneza ladhaa fulani!Kuna tofauti gani kati ya anaekunywa konyagi akachanganya na pepsi au anaekunywa konyagi akachanganya na club soda? Wadau please....
Inamaana ukichanganya konyagi na pepsi kiwango cha unywaji kitashuka sababu sukari itapelekea kulewa haraka na kuchanganya konyagi na maji au club soda kiwango cha unywaji kitaongezeka sababu hutalewa haraka?Kuchanga pepsi ama coka nikukwepa ule uchungu unatengeneza ladhaa fulani!
Lkn Sukari na nyagi ndy kwanza unapandishaaa alcohol!
Mimi binafsi nyagi huwa na mix na maji kdg
Kupiga dry sooo naonaga....
Ova
Sugar inaamsha zaidi!Inamaana ukichanganya konyagi na pepsi kiwango cha unywaji kitashuka sababu sukari itapelekea kulewa haraka na kuchanganya konyagi na maji au club soda kiwango cha unywaji kitaongezeka sababu hutalewa haraka?
Hapo karibu hakuna kiduka cha Mangi , upate kituHapa nimeamka kichwa hakisomi ni kama robot kakosa controlling device ya functionality...let me think [emoji25] ntaipitsha vp cku hadi saa kumi na kama agiz0 la mkuu kiu yangu isinipelekeshe wasije wakaniotea na leo ni ijumaa kutoka ni hadi j3...Dah
Kimara ipi....Matako bar kimara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dawa ni kutoa lock...Hapa nimeamka kichwa hakisomi ni kama robot kakosa controlling device ya functionality...let me think [emoji25] ntaipitsha vp cku hadi saa kumi na kama agiz0 la mkuu kiu yangu isinipelekeshe wasije wakaniotea na leo ni ijumaa kutoka ni hadi j3...Dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu niko njiani kuelekea tazara nikashangae flaiova halafu nipige picha nikiwa pale juu kabisa
Mm najiiba kwa mangi fasta natoa lockHapa nimeamka kichwa hakisomi ni kama robot kakosa controlling device ya functionality...let me think [emoji25] ntaipitsha vp cku hadi saa kumi na kama agiz0 la mkuu kiu yangu isinipelekeshe wasije wakaniotea na leo ni ijumaa kutoka ni hadi j3...Dah