Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

M¥mzee hoyiiiiik
1539285457688.jpeg
 
Mwe nye kujua bar zenye wahudumu wakali na wenye chura anidondoshee humu![emoji3]

Ova
 
Kuna tofauti gani kati ya anaekunywa konyagi akachanganya na pepsi au anaekunywa konyagi akachanganya na club soda? Wadau please....
Kuchanga pepsi ama coka nikukwepa ule uchungu unatengeneza ladhaa fulani!
Lkn Sukari na nyagi ndy kwanza unapandishaaa alcohol!
Mimi binafsi nyagi huwa na mix na maji kdg
Kupiga dry sooo naonaga....

Inamaana ukichanganya konyagi na pepsi kiwango cha unywaji kitashuka sababu sukari itapelekea kulewa haraka na kuchanganya konyagi na maji au club soda kiwango cha unywaji kitaongezeka sababu hutalewa haraka?
 
Hapa nimeamka kichwa hakisomi ni kama robot kakosa controlling device ya functionality...let me think [emoji25] ntaipitsha vp cku hadi saa kumi na kama agiz0 la mkuu kiu yangu isinipelekeshe wasije wakaniotea na leo ni ijumaa kutoka ni hadi j3...Dah
 
Hapo karibu hakuna kiduka cha Mangi , upate kitu
 
Hapa nimeamka kichwa hakisomi ni kama robot kakosa controlling device ya functionality...let me think [emoji25] ntaipitsha vp cku hadi saa kumi na kama agiz0 la mkuu kiu yangu isinipelekeshe wasije wakaniotea na leo ni ijumaa kutoka ni hadi j3...Dah
Dawa ni kutoa lock...
Network itakaa fresh....
Kajiibe kwa mangi fasta...

Ova
 
Katibu niko njiani kuelekea tazara nikashangae flaiova halafu nipige picha nikiwa pale juu kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm ntapanga siku niende pia nkatalii nipige picha na biaa kbsa

Ova
 
Hapa nimeamka kichwa hakisomi ni kama robot kakosa controlling device ya functionality...let me think [emoji25] ntaipitsha vp cku hadi saa kumi na kama agiz0 la mkuu kiu yangu isinipelekeshe wasije wakaniotea na leo ni ijumaa kutoka ni hadi j3...Dah
Mm najiiba kwa mangi fasta natoa lock

Ova
20181012_080723.jpg
 
Back
Top Bottom