Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii bar kama sio wewe nisingepajua hapa Njia ya Kendall lung an Zola pazuri sana mkuu. Jf ni kila kitu alafu kuna muhudumu ananihudumia ni nzuri sana sema nimekuja na familia hata kutania nashidwa
Ahahahahaha
 
Napendekeza kuwepo na utaratibu wa kupeana deals au Ajiira ...be it temporal or permenent tukisha pga mitungi sabab sio wote tunalewa sababu ya furaha sometimes ni stress za unemployment
 
Ndugu katibu itifaki imezingatiwa nawasalimu wote.... Salamu toka kilingeni Msata
Mwenyekiti navuta muda bado nko sehemu
Nataka kuingia kongowe mbele ya mbagala
Navuta muda tu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…