Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Safi Sana, uko dar au wapi?
Nko nmekja Kino shamba nimekja kujichanganya na masela leo [emoji23] [emoji23]

Ova
20181014_182621.jpg
 
Nani kakuambia kuna wanywa soda huku, mnajitafutia mapresha tu , mna nyuzi nyingi zenu tu.Waafrika mna shida sana kujitwika matatizo sio yenu
Aise kile kijiwe cha boda boda hapa wamejaa wahuni sana aika na kopa Naskia sahv ni ngumi lkn vyanzo kamali ya mchina

Ova
 
Back
Top Bottom