Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mjumbe..huu uzi bila wadada wazuri unapwaya.[emoji1][emoji1]Wanachama nawasalimu
HahahahaWalipa kodi wenzangu msisahau na hiiView attachment 898023
Hahahaha
Ndio maana ake ,Rafiki vipi lkn week end naona inaisha vzrRafiki msosi muhimu hayo madude yanakwangua tumbo
Inakwenda kama ilivyopangwaNdio maana ake ,Rafiki vipi lkn week end naona inaisha vzr
Ndo tunamalizia weekend mazee chalii ya chuga
Umeona eee ni full laana usipolipa unaweza ukatoweka gaflaLipa kodi kwa maendeleo ya nchi
Safi Sana, uko dar au wapi?Inakwenda kama ilivyopangwa
Nani kakuambia kuna wanywa soda huku, mnajitafutia mapresha tu , mna nyuzi nyingi zenu tu.Waafrika mna shida sana kujitwika matatizo sio yenuYaani post yangu ya 5160,nimejizuia tangu siku ya 1 kukoment ila nmeshndwa.. Kweli njia ya upotevuni imesonga watu wengi.
Jamani wanywa soda 🥤 turudi kwenye uzi wetu tafadhali... Tumezidiwa na hawa walevi
[emoji2] [emoji2] mkuu Rudi nyumban kumenoga (juice, maji na maziwa vinatosha)Nani kakuambia kuna wanywa soda huku, mnajitafutia mapresha tu , mna nyuzi nyingi zenu tu.Waafrika mna shida sana kujitwika matatizo sio yenu