Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

kwa leo nilizokunywa zinanitosha-serengeti lite 9 nikiendelea kukaa kwenye hiki kiwanja naweza kuharibu ndoa
 
Leo nimejifungia ndani nameza dozi ya kifua...natumai weekend ijayo nitakuwa na vyonza vyombo
 
Wadau nasema niko kinyonge, mwanangu urio sijui kashalowekewa nguo zake zote na wife, kev nae anakula dawa za UTI knanipanga ivyo eti wife kapimwa ana UTI karudi na dozi mbili, maajabu hayataisha. Walipa kodi wawili leo wmetega naendeleza gurudumu. Ila kinyonge mno. Hpa nilipo njiA ya external jeshini tabata hukunji popote mpaka mwisho wa hii lami ndo nilipo.
Dah pole Sana mdau
 
Kesho tukutane London pub wale wadau..ukionyesha mkono mmoja juu kila kikichezwa kinu mziki au wimbo mpya...nitaelekeza upewe chupa moja ya flavour yako...


Hizi ni ishara za kijeshi hakikisha hukosei....




Haya yote yatakuwa summit pub ipo juu kabisa London pub ubungo external...nitaongea na dj apige vitu vikali tupu. Tukutane hapo.
Dah niko Msata kilingeni ningekuja bila kukosa
 
Raha ya kuzimua mapema yaani nimejikuta hapa
20181014_093116.jpeg
 
Back
Top Bottom