Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo natia huruma sanaa wakuu hivi vyuma hivii[emoji21]
Kama kawa
1539455578249.jpeg
 
Wadau nasema niko kinyonge, mwanangu urio sijui kashalowekewa nguo zake zote na wife, kev nae anakula dawa za UTI knanipanga ivyo eti wife kapimwa ana UTI karudi na dozi mbili, maajabu hayataisha. Walipa kodi wawili leo wmetega naendeleza gurudumu. Ila kinyonge mno. Hpa nilipo njiA ya external jeshini tabata hukunji popote mpaka mwisho wa hii lami ndo nilipo.
 

Attachments

  • IMG_20181013_225244.jpeg
    IMG_20181013_225244.jpeg
    40.5 KB · Views: 26
Kev kaja anakunywa grand malt, hivi hapa kodi ipo kweli au anazingua tu. Bado niko kinyonge

Ova
 

Attachments

  • IMG_20181013_231314.jpeg
    IMG_20181013_231314.jpeg
    42 KB · Views: 27
Siwashi flash, too much details itakuwa lowkey is the major key. Japo picha hazina ubora
 
Kesho tukutane London pub wale wadau..ukionyesha mkono mmoja juu kila kikichezwa kinu mziki au wimbo mpya...nitaelekeza upewe chupa moja ya flavour yako...


Hizi ni ishara za kijeshi hakikisha hukosei....




Haya yote yatakuwa summit pub ipo juu kabisa London pub ubungo external...nitaongea na dj apige vitu vikali tupu. Tukutane hapo.
 
Back
Top Bottom