Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Usihofu one day utayafurahia maisha ni suala la muda tu.Naogopa nisije vunja glass nkaishia lockap [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu one day utayafurahia maisha ni suala la muda tu.Naogopa nisije vunja glass nkaishia lockap [emoji4]
[emoji849][emoji849]Kama kawaView attachment 897118
[emoji847][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha ha lipa kodi mkuu....napambana na lite hapa na maua yakiwa pembeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelezeni gurudumu kampuni iendelee kuzalisha
Hivi hii kitu ina alcohol ngapi mana naskia tu sifa zakeLipa kodi bila shuruti tulijenge taifa letuView attachment 897021
Nko aika tu nakandamizaUmeshaanza kulipa kodi pole kwa kikao
Watu kama nyie mpo, kama mazao na magugu shambani. Unalima, unapanda..lazma utapalilia. Mpo tu lazima yaani, kaa pembeni hulipi kodi kistaili yetu. Cc Mshana Jr Song il gok mrangi Mzigua90 mavado Papupi chaliifrancisco mtu chake Blaki Womani Equation xHaraamu
Hahahaha, hofu nishaondoa nasubiri siku tu,nikione kikukuu chako hicho Blaki Womani ,nitafurahi sanaHofu ondo rafiki kikuku lazima ukione[emoji28]
Dah hiyo sehemu nimekaa sana hapo na Texas kwa pembeni rudi Back Yard, Mpukoni, Mamba Pub hadi Madinda 😂😂😂😂Mkuu pub moja iyoView attachment 893394