Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Karibu kwenye fridge yangu kuna ka wine nadhani. Yawezekana kameshanywewa lakini sina uhakika.
 
B 1 kila siku ukitumia 100,000/ utatumia kwa miaka 29[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchanganuo wa mnywaji mmja hapa

Ova
Nimeupenda bure huu uchambuzi.... Nikitaka kuongeza ama kupunguza idadi ya miaka, napunguza ama kuongeza sefuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu kwenye fridge yangu kuna ka wine nadhani. Yawezekana kameshanywewa lakini sina uhakika.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Dada kiu jamani nitumie japo picha
 
Unajua situmii phone natumia cha mezani hivyo mpaka ni download. We kufa na kiu yako. Ila karibu kutakucha utaenda Picha ya ndege.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji57][emoji57][emoji57][emoji851]sawa dada
 
Nimeupenda bure huu uchambuzi.... Nikitaka kuongeza ama kupunguza idadi ya miaka, napunguza ama kuongeza sefuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ova
 
Good morning katibu... Ni siku nyingine tena...! Wangapi tutaliona liKICHWA?
Mwenyekiti kumekucha tunamshukuru Mungu hakika nimesha zimua ndio naelekea kunako mchakato.
Heshima kwa walipakodi wote
mrangi na wengine wote baadae tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…