Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeupenda bure huu uchambuzi.... Nikitaka kuongeza ama kupunguza idadi ya miaka, napunguza ama kuongeza sefuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]B 1 kila siku ukitumia 100,000/ utatumia kwa miaka 29[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchanganuo wa mnywaji mmja hapa
Ova
Dah nimeona chata la Infinix hapoNdani ya king'ole club nalipa kodiView attachment 901410
Unajua situmii phone natumia cha mezani hivyo mpaka ni download. We kufa na kiu yako. Ila karibu kutakucha utaenda Picha ya ndege.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Dada kiu jamani nitumie japo picha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeupenda bure huu uchambuzi.... Nikitaka kuongeza ama kupunguza idadi ya miaka, napunguza ama kuongeza sefuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gdgmrng mwenyekitiGood morning katibu... Ni siku nyingine tena...! Wangapi tutaliona liKICHWA?
Aysee wapo. Niliishakutana na mmoja mpaka nikamuulizia elimu yake. Yuko vizuri SanaHakuna barmaid anayeandika vzr namna hiyo
Dah katibu vibanda vyote vimefungwa na nina kiu hatari
Duh tumia formation yangu ya 4 4 2 ileDah katibu vibanda vyote vimefungwa na nina kiu hatari
Duh kiwanja Hicho karibu na kwamakomaNipo maeneo ya Michigani Bar Mwananyama nalipa kodiView attachment 902317
Tukiwahi kuvamiwa hapo na majambazi wayback 2005Nipo maeneo ya Michigani Bar Mwananyama nalipa kodiView attachment 902317