Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni[emoji23][emoji23][emoji23]you get guts dude.....
Mwisho wa mezi unakaribia fasta watu wasikose mishahara. Hujui sisi ndio wawezeshaji?.Safi#mm napiga jaramba
Ova
Huyo atakua na msongo wa mawazo tu. Aombe hata ushauri namna ya kupata au kutumia pesa sio kuwa na wivu na burudanizetu. Katibu fanya kumtag nimshauri juu ya tatizo lake.Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni
Ova
Kudhalilisha nn labda?Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni
Ova
Wengi wa Watanzania wanapenda tuishi kama watakavyo wao, maisha ni kufurahiHuyo atakua na msongo wa mawazo tu. Aombe hata ushauri namna ya kupata au kutumia pesa sio kuwa na wivu na burudanizetu. Katibu fanya kumtag nimshauri juu ya tatizo lake.
Jmaa haeleweki naona anapenda tuishi atakavyo yeye au a naona tunakula pipi yeye Hali pipi[emoji23] [emoji23]Kudhalilisha nn labda?
Tatizo wanataka shida zao tubebe wote, wakati nikuomba ushauri namna ya kuzitua tu basi.Wengi wa Watanzania wanapenda tuishi kama watakavyo wao, maisha ni kufurahi
Ndio maana nikasema amtagi tumfanyie kanseli.Kudhalilisha nn labda?
Hilo ndio neno mkuuTatizo wanataka shida zao tubebe wote, wakati nikuomba ushauri namna ya kuzitua tu basi.
Hilo pia linawawia gumu?.
Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni
Ova
Fasta ikiwezekana[emoji23][emoji23][emoji23] amshughulikie au Sio
Tushasogea kilingeni Meza imechafuka fasta[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo ndio neno mkuu
Ndio maana nikasema amtagi tumfanyie kanseli.
Ukisikia vidume km vibinti ndio hao sasaJmaa haeleweki naona anapenda tuishi atakavyo yeye au a naona tunakula pipi yeye Hali pipi[emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikia vidume km vibinti ndio hao sasa
Hahahaha, huku tuko busy kulipa kodi ,huko kwingine waendelee kubishana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzi wetu watu watuonea jealous wanashanga kila siku ni kama Xmas
Ova
Ah acha sisi tule pipi tufurahi maisha yenyewe mafupi hawaelewekiHahahaha, huku tuko busy kulipa kodi ,huko kwingine waendelee kubishana
Nimezingatia maslahi mapana ya wanachama wote na muktadha wa kuipatia serikali mapato...! superG popote ulipo jitokeze mbele ya kamati ya maadili na nidhamu kabla sijafanya yangu[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni
Ova
Poa poaHuyo atakua na msongo wa mawazo tu. Aombe hata ushauri namna ya kupata au kutumia pesa sio kuwa na wivu na burudanizetu. Katibu fanya kumtag nimshauri juu ya tatizo lake.