Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Safi#mm napiga jaramba

Ova
Mwisho wa mezi unakaribia fasta watu wasikose mishahara. Hujui sisi ndio wawezeshaji?.
154011507485059178079.jpg
 
Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni

Ova
Huyo atakua na msongo wa mawazo tu. Aombe hata ushauri namna ya kupata au kutumia pesa sio kuwa na wivu na burudanizetu. Katibu fanya kumtag nimshauri juu ya tatizo lake.
 
Kuna member humu anaitwa superbug #anawambia mods wafute uzi wetu eti unadhalilisha#mwenyekiti Hebu mshulikie fasta hyo hpo kilingeni

Ova
Nimezingatia maslahi mapana ya wanachama wote na muktadha wa kuipatia serikali mapato...! superG popote ulipo jitokeze mbele ya kamati ya maadili na nidhamu kabla sijafanya yangu[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]
 
Huyo atakua na msongo wa mawazo tu. Aombe hata ushauri namna ya kupata au kutumia pesa sio kuwa na wivu na burudanizetu. Katibu fanya kumtag nimshauri juu ya tatizo lake.
Poa poa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom