Kulikuwa na kiwanja kimoja hapo arachuga kinaitwa, temboo????? Sijui bado kupoRafiki lipa kodi hakuna kutengana
Kulikuwa na kiwanja kimoja hapo arachuga kinaitwa, temboo????? Sijui bado kupo
Ova
Muhudumu mkuu.Huyo bonge nani?
Mi nimeamka na hangover ya kuitafuna sana papuchi jana usiku hapa nipo nawazia booster itakayoniweka sawa.Binafsi mimi kuna ndugu yangu mmoja apa nafanya naye kazi daah jamaa tangia kafika ni anasinzia hovyo hovyo utadhani ni kuku mwenye mdondo nikimuuliza kulikoni anaishia kuniamba daah mwanangu wee acha tu jana ilikuwa noma
Sa najiuliza kama ilikuwa noma kwanini hakupiga kwa kiasi ili leo aweze kuamka akiwa stable na kufika kweny majukumu yake akiwa fresh ama ndo yale mambo ukisha anza huwezi jipimia mpaka utakapokinai ndo inakuwa nafuu yako!
Huu mchoro umenifikirisha sana aisee..
Nyuzi kama hizi zinapaswa ziunganishwe kwenye main stream....uzi wetu wa walevi na wanywaji ...uliohasisiwa na Mshana Jr...Binafsi mimi kuna ndugu yangu mmoja apa nafanya naye kazi daah jamaa tangia kafika ni anasinzia hovyo hovyo utadhani ni kuku mwenye mdondo nikimuuliza kulikoni anaishia kuniamba daah mwanangu wee acha tu jana ilikuwa noma
Sa najiuliza kama ilikuwa noma kwanini hakupiga kwa kiasi ili leo aweze kuamka akiwa stable na kufika kweny majukumu yake akiwa fresh ama ndo yale mambo ukisha anza huwezi jipimia mpaka utakapokinai ndo inakuwa nafuu yako!
Aaaaah chizi kweli zero IQ!Mi nimeamka na hangover ya kuitafuna sana papuchi jana usiku hapa nipo nawazia booster itakayoniweka sawa.
Wee msenge huu mchoro unachekesha na unafikirisha sana aseeh nimecheka vibaya mno ndugu sijui ni nani aliubuni hasa kuanzia ijumaa mpaka j3 ni balaa yana wana wanatambaa tu na kupiga mbizi
Yani nakwambia mpaka inachekesha maana kila akikaa ni usingizi nina kazi ya kumwamsha tu apa alafu kila nikimuuliza kulikoni jibu lake mwnangu acha jana ilikuwa ni noma[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji28] alafu anatokwa na majasho vibaya mno!!ha ha ha ha.....
Msaidie hela ya supu aisee...
Tafuts tu papuchi ya kuboost kama vip tangaz dau naamini utapata tu!!Mi nimeamka na hangover ya kuitafuna sana papuchi jana usiku hapa nipo nawazia booster itakayoniweka sawa.
Hii kitu noma sana jumatano ndio angalauHuu mchoro umenifikirisha sana aisee..
Before u stand up straight friday hii hapa....
Noma.
ha ha.. Mchoro upo wazi jumatatu kuna hizo z z Z kwahyo msevu huyo mwanaWee msenge huu mchoro unachekesha na unafikirisha sana aseeh nimecheka vibaya mno ndugu sijui ni nani aliubuni hasa kuanzia ijumaa mpaka j3 ni balaa yana wana wanatambaa tu na kupiga mbizi