Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Binafsi mimi kuna ndugu yangu mmoja apa nafanya naye kazi daah jamaa tangia kafika ni anasinzia hovyo hovyo utadhani ni kuku mwenye mdondo nikimuuliza kulikoni anaishia kuniamba daah mwanangu wee acha tu jana ilikuwa noma

Sa najiuliza kama ilikuwa noma kwanini hakupiga kwa kiasi ili leo aweze kuamka akiwa stable na kufika kweny majukumu yake akiwa fresh ama ndo yale mambo ukisha anza huwezi jipimia mpaka utakapokinai ndo inakuwa nafuu yako!
 
Mi nimeamka na hangover ya kuitafuna sana papuchi jana usiku hapa nipo nawazia booster itakayoniweka sawa.
 
wp_ss_20180924_0005 (2).png
 
Binafsi mimi kuna ndugu yangu mmoja apa nafanya naye kazi daah jamaa tangia kafika ni anasinzia hovyo hovyo utadhani ni kuku mwenye mdondo nikimuuliza kulikoni anaishia kuniamba daah mwanangu wee acha tu jana ilikuwa noma

Sa najiuliza kama ilikuwa noma kwanini hakupiga kwa kiasi ili leo aweze kuamka akiwa stable na kufika kweny majukumu yake akiwa fresh ama ndo yale mambo ukisha anza huwezi jipimia mpaka utakapokinai ndo inakuwa nafuu yako!
Nyuzi kama hizi zinapaswa ziunganishwe kwenye main stream....uzi wetu wa walevi na wanywaji ...uliohasisiwa na Mshana Jr...
 
ha ha ha ha.....
Msaidie hela ya supu aisee...
Yani nakwambia mpaka inachekesha maana kila akikaa ni usingizi nina kazi ya kumwamsha tu apa alafu kila nikimuuliza kulikoni jibu lake mwnangu acha jana ilikuwa ni noma[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji28] alafu anatokwa na majasho vibaya mno!!
 
Wee msenge huu mchoro unachekesha na unafikirisha sana aseeh nimecheka vibaya mno ndugu sijui ni nani aliubuni hasa kuanzia ijumaa mpaka j3 ni balaa yana wana wanatambaa tu na kupiga mbizi
ha ha.. Mchoro upo wazi jumatatu kuna hizo z z Z kwahyo msevu huyo mwana
 
Back
Top Bottom