Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Safi sana siku moja nitakuja kulipa kodi hapoMkoa wa pwani kaka si mbali na maili moja
Hyo energy drink hapo unaambiwa ni zaidi Mkuyati, mkongo kasongo hatii maguu hapo ni balaa tosha kupigia gemuWadau muhimu katika kuchangia pato la taifa... Nimeamua rasmi kujigawa kwa kufungua kilinge cha ulipaji kodi karibuni sanaView attachment 912419
Hasa ukimix na nyagi
HahahaHyo energy drink hapo unaambiwa ni zaidi Mkuyati, mkongo kasongo hatii maguu hapo ni balaa tosha kupigia gemu
loku mapemaHahaha
Location area no wapi tuje??? Kiluvya? Loliondo? Maili moja au?Mkoa wa pwani kaka si mbali na maili moja
Hahaha Hamna.Mnhhh....hahahahaahaa...
mkuu ushauwa ini..
Hasa ukimix na nyagi
Ntazuru siku moja!Karibu mno
Uuuuuwiiiiii..... Karibu sana katibuNtazuru siku moja!
Mimi leo mangi kaniachia uwanja....open game....[emoji23] kichaa kapewa rungu
Ova
View attachment 912504
Nipo kwa mangi natereza tuUuuuuwiiiiii..... Karibu sana katibu
Hapo una ngano mbili ,mkate na safari laga
Kwa mangi ana mambo mengi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo una ngano mbili ,mkate na safari laga
Kwa mangi ndio penyeweKwa mangi ana mambo mengi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova