Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa mangi ndio penyewe
Nmetoka nimeingia kijiwe cha hku Brazil

Ova
20181027_162634.jpg
 
Ha ha ha ha ha kwa mchanganyiko huo aaaaaah lazima uelee juu ya Maji na una bahati kuelea juu ya Maji? Labda kwa pombe ulizokunywa
 
Yani leo ningezimia kama mtoto wa Mlema wa Ngurdoto alozikwa leo.Ashukuliwe Mungu sikuwa na hela ya kutosha,ningekunywa sn
 
Duh hapa linalipigwa goma linaitwa mwakameka Dah wamenikosha sana

Ova
 
Back
Top Bottom